Thursday, 8 October 2026

Mkusanyiko wa habari

MICHEZO

KIKOSI CHA KUOGELEA CHATAJWA HADHARANI

KIKOSI cha Tanzania cha Kuogelea kimetajwa hadharani kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya ‘Africa Acquatics’, Kanda ya 3, iliyopangwa kufanyika Oktoba 16-19, mwaka huu. Akizungumza na Panorama,…

TWIGA STARS YAPIGWA WAFCON

Bao la kiungo mshambuliaji wa Mali, Saratou Traore, lilitosha kuipa ushindi dhidi ya kikosi cha wanawake wa Tanzania, ‘Twiga Stars’ katika michezo wa michuano ya Mataifa ya Afrika…

MTIBWA SUGAR KULETA KOCHA MPYA

UONGOZI wa klabu ya Mtibwa Sugar, umesema unatarajia kumwajiri kocha mkuu mpya ili aweze kukifundisha kikosi chao cha msimu ujao. Mtibwa Sugar wamerejea Ligi Kuu Tanzania Bara, baada…

OKWI AIBUKA USAJILI MPYA SIMBA

MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Simba, Mganda Emmanuel Okwi, amemuibua beki wa kikosi hicho, Fikiri Magoso, baada ya kumtaja katika usajili wa wachezaji wapya kwa ajili ya…

TWIGA STARS,MALI KAZI MOJA

Timu ya Tanzania ya Wanawake ‘Twiga Stars’ leo inatarajia kushuka uwanjani kumenyana na Mali ukiwa ni mchezo wa kwanza wa kuwania ubingwa Afrika (WAFCON) utakaochezwa mjini Morocco. Twiga…

MAKOCHA WAITWA KUSOMEA UKOCHA

MAKOCHA mbalimbali wa soka wametakiwa kujitokeza kushiriki kozi ya ukocha ngazi ya Diploma D, iliyopangwa kufanyika Julai 5 hadi 14, mwaka huu, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam.…

KOROSHO QUEENS KWENDA MAFICHONI JULAI 25

TIMU ya wasichana ya korosho Queens ya Mtwara, inatarajia kuingia kambini kujiandaa na Ligi ya Taifa ya Mpira wa Wavu (TVNL), iliyopangwa kuanza Julai 25, mwaka huu, kwenye…

IBENGE AIMALIZA SIMBA,YANGA AMBAKIZA FEI TOTO AZAM

KOCHA mpya wa Azam, Florent Ibenge, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Salum Abdallah, ‘ Fei Toto’ ataendelea kukipiga katika kikosi hicho. Ibenge ambaye ni raia wa Jamhuri…

MO DEWJI AVUNJA KAMATI YA USAJILI WA WACHEZAJI SIMBA

Baada ya timu ya Simba kushindwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kikao cha viongozi wa klabu hiyo kimepitisha uamuzi wa kuvunja kamati ya usajili wa wachezaji…

YANGA ITAFUTE MBADALA WA AUCHO-JEMBE ULAYA

NYOTA wa zamani wa Timu ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, Bakari Malima, Jembe Ulaya’, amesema klabu ya Yanga inatakiwa kumtafuta mbadala wa kiungo mkabaji, Khalid Aucho ili…