JESHI LA UHIFADHI LADHIBITI FISI
ZERUBABEL CHUMA KIKOSI maalumu chenye askari 27 kutoka taasisi zinazounda Jeshi la Uhifadhi kimewadhibiti fisi waharibifu 25 waliokuwa wakihatarisha usalama wa wananchi wa Mkoa wa Simuyu. Mkurugenzi wa…
Mkusanyiko wa habari
ZERUBABEL CHUMA KIKOSI maalumu chenye askari 27 kutoka taasisi zinazounda Jeshi la Uhifadhi kimewadhibiti fisi waharibifu 25 waliokuwa wakihatarisha usalama wa wananchi wa Mkoa wa Simuyu. Mkurugenzi wa…
UKITAKA kuliona au kusali ndani ya Kanisa Katoliki la kihistoria lenye miaka zaidi ya 145 tangu lilipojengwa, nenda katalii kwenye makumbusho ya Dkt. David Livingstone, iliyopo Manispaa ya Ujiji…
NJIA kuu waliyopita watumwa mwishoni mwa karne ya 18 na mwanzoni mwa karne ya 19, bado ipo. Njia hiyo ipo Manispaa ya Ujiji – Kigoma mkoani Kigoma ikianzia hapo…
CHIFU Mtwa Mkwawa alilala kwenye jiwe kwa muda wa miaka minne, wakati akipigana vita vya msituni na wakoloni wa Kijerumani. Jiwe hilo lipo kijiji cha Mlambalasi mkoani Iringa,…
GANGILONGA, neno la Kihehe, ni jina la jiwe; maana yake ni jiwe linaloongea. Jiwe la miujiza ambalo hapo zamani lilikuwa likiongea. Jiwe la Gangilonga lipo Iringa mjini na ni…
MAKUMBUSHO ya Chifu Mtwa Mkwawa wa Kabila la Wahehe, iliyopo Kitongoji cha Wanji, Kijiji cha Kalenga, Kata ya Kalenga mkoani Iringa ina vivutio vingi vinavyoweza kumfanya mtalii kuiona…
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ‘limeisuka’ upya Makumbusho ya Chifu Mtwa Mkwawa, na sasa watalii kutoka nje ya nchi wanaweza kupata huduma zote muhimu wakiwa ndani ya…
SHIRIKA LA Hifadhi za Taifa (TANAPA), limefungua milango ya Lugalo mkoani Irnga. Eneo la kihistoria lilipo kaburi ya Nyundo, alikozikwa Kamanda wa Majeshi ya Kijerumani, Emil Von Zelewisk na wanajeshi wake…
HISTORIA iliyosahaulika ya mwisho wa maisha ya mama mzazi wa Chifu Mtwa Mkwawa wa Kabila la Wahehe, imerejeshwa. Hivi sasa, mtalii anayetembelea Makumbusho ya Chifu Mkwawa iliyopo Kijiji…
KAMA unataka kujua dawa mujarabu ya kumtambua mwanamke anayechepuka kwenye ndoa yake, tembelea makumbusho ya Chifu Mtwa Mkwawa iliyopo Kijiji cha Kalenga, mkoani Iringa. Ukiwa ndani ya makumbusho hiyo,…