Mkusanyiko wa habari
UTAMADUNI & UTALII
FAHAMU ULIPO MBUYU WENYE TASWIRA YA BIKIRA MARIA
ARODIA PETER KATIKA kitabu Kitakatifu cha Biblia, inaelezwa kwamba Mwenyezi Mungu aliumba dunia na vitu vyote vilivyomo. Na kamwe hakuwahi kukosea katika uumbaji wake. Vitabu vya dini ya…
MAAJABU YA KASA HIFADHI YA SAADANI
ARODIA PETER KASA ni aina ya mnyama kobe. Ni mkubwa kwa umbo lakini anaishi baharini. Hutaga mayai yake katika mchanga wa fukwe za kanda za tropiki na nusu…
TANZANIA YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA NCHI WASHIKA KUKABILIANA NA UJANGILI
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kushirikiana na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Lusaka katika kukabiliana na biashara haramu ya Wanyamapori na mazao ya misitu inayovuka…
DK. CHANA AWAASA MAKETE KUTOVAMIA MAENEO YA HIFADHI
ZERUBABEL CHUMA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amewaasa wananchi wa Makete, mkoani Njombe kuacha kuvamia maeneo yaliyohifadhiwa na badala yake wayatumie kujiongezea kipato. Ameyasema…
MABALOZI KUTALII SERENGETI, NGORONGORO NA ZANZIBAR
RIPOTA PANORAMA MABALOZI wa mataifa mbalimbali waliopo hapa nchini wanafanya ziara ya kitalii katika Mbunga ya Wanyana ya Serengeti, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoto na maeneo ya kitalii…
