Mwanasheria na mwandishi maarufu wa Nigeria, Dele Farotimi, amechangia mjadala unaoendelea nchini humo kuhusu mtazamo unaojulikana kama “Olodo Uprising”, ambao umekuwa ukijadiliwa kwa kina kupitia vyombo vya habari…
Mvutano wa Israel na Iran waongezeka huku kukiwa na madai kuhusu kiongozi wa IranMvutano wa kisiasa na kijeshi kati ya Israel na Iran umeendelea kuongezeka baada ya ripoti…
Hali imeendelea kuwa mbaya nchini Ghana kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo. Mafuriko hayo yameathiri makazi ya wananchi, huku…
Rais wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kufanya ziara nchini India mapema mwaka ujao, huku Marekani na India zikiendelea kuimarisha uhusiano wao wa kimkakati.Waziri wa Mambo ya Nje wa…
Aliyekuwa mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amehukumiwa kifungo cha miaka saba gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kupokea zawadi za thamani…
Mfalme Felipe VI wa Hispania afanya ziara yake ya kwanza Mexico tangu mgogoro wa kidiplomasiaMfalme Felipe VI wa Hispania amekutana na Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, katika ziara…
Chuo Kikuu cha RUDN cha nchini Urusi, maarufu kama Patrice Lumumba kimemtunuku Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Uzamivu ya Heshima (Honoris Causa) kwa kutambua mchango wake katika…
Israel na Lebanon zimekubaliana kutekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, imeeleza kuwa makubaliano hayo yanatokana na…
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa atahudhuria mkutano wa viongozi wa mataifa tajiri ya G7 utakaofanyika nchini Ufaransa kuanzia Juni 15 hadi 17 mwaka huu. Kupitia ujumbe…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ameonya kuhusu hatari kubwa ya kuongezeka kwa mvutano katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine, akieleza kuwa hali…