Habari Kimataifa

FEISAL SALUM NA SIMULIZI YA KUHUZUNISHA: BABA YAKE HAJAWAHI KUMSHUHUDIA AKIWA UWANJANI

Feisal Salum Abdallah, maarufu kama Fei Toto, ni mmoja wa viungo bora wa soka nchini Tanzania. Alizaliwa tarehe 11 Januari 1998 visiwani Zanzibar na alianza safari yake ya soka...

BUGANDO WAFANYA UPASUAJI KUREKEBISHA SURA

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando (BMC), kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Sweden na Afrika Kusini,...

KIGOMA YAFANYA UPIMAJI UTAYARI KUKABILIANA NA EBOLA

Serikali, kupitia Wizara ya Afya, imeendesha zoezi la kupima utayari wa wataalamu wa afya na sekta mbalimbali katika...

UKRAINE YASHAMBULIA BANDARI NA MIUNDOMBINU URUSI

‎Vita kati ya Ukraine na Urusi vimechukua sura mpya baada ya Ukraine kutekeleza shambulizi kubwa la droni usiku...

MOTO MKUBWA MWANZA

Huzuni imetanda miongoni mwa wafanyabiashara wa Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, kufuatia ajali ya moto iliyozuka usiku wa...
spot_img

POLISI WAFUATILIA WAUZA DAWA ZA KULEVYA, MASHOGA MOSHI CENTRAL CLUB

RIPOTA PANORAMA Moshi, Kilimanjaro JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linafuatilia taarifa za kuwepo watumiaji na wauza wa dawa kulevya, pamoja na watu wanaojihusisha na mapenzi...

TRUMP KUGOMBEA TENA URAIS 2024

Florida, Marekani RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuwania tena nafasi ya urais wa nchi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika 2024. Trump alitangaza nia...

MWANAMKE ALIYEUA WANAYE WATANO ANYONGWA

BRUSSELS, UBELGIJI Genevieve Lhermitte, Mwanamke Raia wa Ubelgiji ambaye aliwaua watoto wake watano miaka 16 iliyopita, mapema wiki hii amenyongwa hadi kufa baada ya kuomba...

PRINCE HARRY KUTIKISA UFALME WA UINGEREZA

LONDON, UINGEREZA FAMILIA ya kifalme ya Uingereza inakabiliwa na mtikisiko mkubwa baada ya mwana mfalme, Prince Harry kuandika kitabu chenye mlolongo wa malalamiko, majuto, madai...

SAFARI YA MWISHO YA PAPA BENEDICTO XVI DUNIANI

VATICAN PAPA Mstaafu Benedicto XVI, Alhamis ya Januari 5, 2023 mwili wake ulizikwa kwenye kaburini lililo katika kanisa la Mtakatifu Petro, Vatican. Kwa mujibu wa vyombo...

DUNIA YAMUAGA PAPA BENEDIKTO XVI

VATICAN MWILI wa Papa Mstaafu Benedikto XVI, aliyefariki dunia Disemba 31, 2022 umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huko Vatican ambako watu kutoka mataifa...
spot_img