MUNICH, Ujerumani
JINA la Marie-Louise Eta limeandika historia katika soka la Ujerumani baada ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa kocha wa klabu ya Ligi Kuu (Bundesliga).
Eta mwenye umri wa miaka...
GENEVA, Uswisi
KAMPUNI ya masuala ya usalama ya SICPA inayofanya kazi katika maeneo mbalimbali duniani, imehukumiwa kulipa Dola za Marekani milioni 90.6 baada ya kutiwa...
RIPOTA PANORAMA
Moshi, Kilimanjaro
JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linafuatilia taarifa za kuwepo watumiaji na wauza wa dawa kulevya, pamoja na watu wanaojihusisha na mapenzi...
Florida, Marekani
RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuwania tena nafasi ya urais wa nchi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika 2024.
Trump alitangaza nia...
BRUSSELS, UBELGIJI
Genevieve Lhermitte, Mwanamke Raia wa Ubelgiji ambaye aliwaua watoto wake watano miaka 16 iliyopita, mapema wiki hii amenyongwa hadi kufa baada ya kuomba...
LONDON, UINGEREZA
FAMILIA ya kifalme ya Uingereza inakabiliwa na mtikisiko mkubwa baada ya mwana mfalme, Prince Harry kuandika kitabu chenye mlolongo wa malalamiko, majuto, madai...
VATICAN
PAPA Mstaafu Benedicto XVI, Alhamis ya Januari 5, 2023 mwili wake ulizikwa kwenye kaburini lililo katika kanisa la Mtakatifu Petro, Vatican.
Kwa mujibu wa vyombo...