Mchokonozi
TUMEKOSEA HAPA, TUJISAHIHISHE
MCHOKONOZI
MSALABA wa mema na mabaya katika Taifa letu kwa sasa upo mabegani mwa Raisi Samia Suluhu Hassan bila kujali mema na mabaya hayo yalipandikizwa lini, yakamea na kustawi lini hadi sasa yamekomaa.
Taifa...
SAFU MAALUM
MNYETI KITANZINI RIPOTI YA TUME ASHTAKIWE MAHAKAMANI
RIPOTI MAALUMU (6)
CHARLES MULLINDA
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyochunguza tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizomkabili Naibu Waziri wa Mifugo na...
Mchokonozi
SUKARI MCHANA, JINAMIZI LA TUHUMA ZA MPINA USIKU
MCHOKONOZI
MOYO wangu umekaa upogo, fikra zangu zimeganda, mwili wangu umelegea, usingizi wangu umekuwa wa shida. Ninahisi kuitapika roho yangu.
Mimi ni mpenzi wa kahawa iliyotiwa...
SAFU MAALUM
NONDO – MUSWADA WA SHERIA YA TUME YA UCHAGUZI – Tafsiri ya tabia mbaya anatoa nani?
ABDUL NONDO
Miswada mitatu imesomwa kwa mara ya kwanza kwenye mkutano wa 13 wa bunge ulimalizika Novemba, 2023 Jijini Dodoma. Miswada hiyo ni wa sheria...
Mchokonozi
BANDARI, DP WORLD NA KISA CHA NYANI HAONI KUNDULE
MCHOKONOZI
CHARLES MULLINDA
KUNA ya vita ya manyani inayopiganwa sasa hapa nchini. Ni vita ya nyani kuchekana maumbile yao ya nyuma. Maumbile ya nyani hayatofautiani...
Mchokonozi
WAZIRI NAPE LIA NAO, CHEKA NAO, WAKIFA WAOMBOLEZEE
MCHOKONOZI
CHARLES MULLINDA
NAPE Moses Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ninakuandikia waraka huu wa Mchokonozi ili mioyo ya waandishi wa habari itakapokuwa...
Mikito
Ndani Giza Nje Mimba
SIMBA GEMBAGU NG’WANA NJAMITI
KILA nikikita ninakitwa. Popote ninapokita napokewa na mikito. Napokewa na mikito halisi ya kitanzania inayonikita.
Ninakita ili nijikite lakini sijikiti badala yake...
Mchokonozi
CHAWA ANAPODANDA KILEMBA CHA RAIS SAMIA (2)
MCHOKONOZI
0711 46 49 84
MILA, desturi na tamaduni za kiafrika zinatufundisha na kutuelekeza waafrika wadogo kiumri kuheshimu wazee wetu bila kujali kuwa ni watu...
Mchokonozi
KESI YA UNGA YA MUNA NA HARIRI MBELE YA GACACA
CHARLES MULLINDA
KESI ya unga. Watuma maombi kwa niaba ya serikali ni wachokonozi; na wajibu maombi ni, mosi; shahidi wa Serikali ambaye ushahidi wake mahakamani...
Mchokonozi
KESI YA HEROIN YA MUNA, HARIRI NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE?
NA CHARLES MULLINDA
BADO sijamuona mtu wa kumfunga paka kengele ili kutanzua mtanziko uliopo sasa katika mjadala mkali unaohusu kushindwa kwa serikali katika kesi ya...
Mchokonozi
WAKO WAPI MAKACHERO WA KESI YA UNGA YA HARIRI NA MUNA
CHARLES MULLINDA
SERIKALI imeshindwa. Imeshindwa kesi mahakamani. Imeshindwa na mfanyabiashara Mohamedi Hariri na mkewe Muna Said, waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la kukutwa na dawa za...

