Google search engine

Mchokonozi

TUMEKOSEA HAPA, TUJISAHIHISHE

MCHOKONOZI MSALABA wa mema na mabaya katika Taifa letu kwa sasa upo mabegani mwa Raisi Samia Suluhu Hassan bila kujali mema na mabaya hayo yalipandikizwa lini, yakamea na kustawi lini hadi sasa yamekomaa. Taifa...

SUKARI MCHANA, JINAMIZI LA TUHUMA ZA MPINA USIKU

MCHOKONOZI MOYO wangu umekaa upogo, fikra zangu zimeganda, mwili wangu umelegea, usingizi wangu umekuwa wa shida. Ninahisi kuitapika roho yangu. Mimi ni mpenzi wa kahawa iliyotiwa...

BANDARI, DP WORLD NA KISA CHA NYANI HAONI KUNDULE

MCHOKONOZI CHARLES MULLINDA KUNA ya vita ya manyani inayopiganwa sasa hapa nchini. Ni vita ya nyani kuchekana maumbile yao ya nyuma. Maumbile ya nyani hayatofautiani...

WAZIRI NAPE LIA NAO, CHEKA NAO, WAKIFA WAOMBOLEZEE

MCHOKONOZI CHARLES MULLINDA NAPE Moses Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ninakuandikia waraka huu wa Mchokonozi ili mioyo ya waandishi wa habari itakapokuwa...

CHAWA ANAPODANDA KILEMBA CHA RAIS SAMIA (2)

MCHOKONOZI 0711 46 49 84 MILA, desturi na tamaduni za kiafrika zinatufundisha na kutuelekeza waafrika wadogo kiumri kuheshimu wazee wetu bila kujali kuwa ni watu...

KESI YA UNGA YA MUNA NA HARIRI MBELE YA GACACA

CHARLES MULLINDA KESI ya unga. Watuma maombi kwa niaba ya serikali ni wachokonozi; na wajibu maombi ni, mosi; shahidi wa Serikali ambaye ushahidi wake mahakamani...

KESI YA HEROIN YA MUNA, HARIRI NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE?

NA CHARLES MULLINDA BADO sijamuona mtu wa kumfunga paka kengele ili kutanzua mtanziko uliopo sasa katika mjadala mkali unaohusu kushindwa kwa serikali katika kesi ya...

WAKO WAPI MAKACHERO WA KESI YA UNGA YA HARIRI NA MUNA

CHARLES MULLINDA SERIKALI imeshindwa. Imeshindwa kesi mahakamani. Imeshindwa na mfanyabiashara Mohamedi Hariri na mkewe Muna Said, waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la kukutwa na dawa za...

HISTORIA INAPOMTANGULIZA LISSU MBELE YA KIVULI CHA URAIS WA DHAMBI

NA CHARLES MULLINDA HISTORIA, licha ya kuwa mwalimu mzuri ina tabia ya kujirudia. Matukio mengi, mazuri na mabaya yaliyopata kutokea na yanayotokea sasa yamo katika...

KESHO TUTACHEKWA PAMOJA NA KIKWETE

KILA ninaipoitazama Tanzania ya kesho ninawaona watoto wa watoto wetu wakitucheka kwa kushindwa kuiishi misingi ya utawala bora, kutofuata sheria za nchi, wanasiasa kuendekeza...

HISTORIA IANDIKWE UPYA SASA (1)

NI jambo la bahati mbaya sana kwamba wapo baadhi ya watu ambao husoma maandishi ya kichokonozi bila kuyaelewa na wapo pia wengine ambao husoma...