Habari Kitaifa
MHARIRI MAKARANGA AFARIKI DUNIA
DAR ES SALAAM
MWANDISHI na Mhariri mkongwe nchini, Revocatus Makaranga amefariki dunia leo Machi 5, 2026 muda mfupi baada ya kufikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Kwa mujibu wa taarifa za...
Habari Kitaifa
10 MBARONI KWA TUHUMA ZA UTAPELI
RIPOTA PANORAMA
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za utapeli kwa kutumia mitandao ya simu.
Kati yao, saba wamekamatwa wakiwa na...
Habari Kitaifa
HAKUNA UHABA WA MAFUTA ZANZIBAR
RIPORA PANORAMA
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema kuwa licha ya vita vinavyoendelea katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati ambazo ni wazalishaji wakubwa wa...
Habari Kitaifa
WANAFUNZI SEKONDARI BULYAGA WAASWA KUKABILIANA NA UKATILI
RIPOTA PANORAMA
MTANDAO wa Polisi Wanawake (TPF NeT) Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya umewataka Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bulyaga kushiriki kutokomeza ukatili katika...
Habari Kitaifa
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI MATANKI YA KUPOKEA NA KUSAMBAZA MAFUTA.
DAR ES SALAAM
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe na msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea na kusambaza mafuta katika Bandari ya...
Habari Kitaifa
NDUVA AAGA, AMSHUKURU RAIS SAMIA UUNGAJI MKONO WA MTANGAMANO WA EAC
DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Veronica Nduva ametoa shukrani za dhati kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa ushirikiano wa...
Habari Kitaifa
TUME YAKUTANA NA MMILIKI MABASI YA ESTHER
DAR ES SALAAM
TUME ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Februari 28 imekutana na...
Habari Kitaifa
TUME, MUFTI WATETA MATUKIO YA OKTOBA 29
DAR ES SALAAM
TUME ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Februari 27,...
Habari Kitaifa
TANZANIA KUJITOSHELEZA KWA UZALISHAJI SUKARI 2026
MOROGORO
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo amesema Tanzania itajitosheleza kwa uzalishaji sukari kwa asilimia 100 ifikapo Juni 2026.
Alisema...
Habari Kitaifa
SERIKALI YATOA TAHADHARI DHIDI YA INFLUENZA, UVIKO-19, DENGUE NA KIPINDUPINDU
RIPOTA PANORAMA
SERIKALI imetoa tahadhari ya kuwepo ongezeko la magonjwa ya mlipuko yakiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19, homa ya Dengue na Kipindupindu na kusisitiza...
Habari Kitaifa
ACT WAZALENDO YATOA MAPENDEKEZO 4
DAR ES SALAAM:
NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo imetoa mapendekezo manne kwa Serikali ikitaka maboresho katika mfumo wa uwezeshaji vijana kiuchumi kwa sababu...

