Google search engine

HABARI

MHARIRI MAKARANGA AFARIKI DUNIA

DAR ES SALAAM MWANDISHI na Mhariri mkongwe nchini, Revocatus Makaranga amefariki dunia leo Machi 5, 2026 muda mfupi baada ya kufikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kwa mujibu wa taarifa za...

10 MBARONI KWA TUHUMA ZA UTAPELI

RIPOTA PANORAMA JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro    linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za utapeli kwa kutumia mitandao ya simu. Kati yao, saba wamekamatwa wakiwa na...

HAKUNA UHABA WA MAFUTA ZANZIBAR

RIPORA PANORAMA SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema kuwa licha ya vita vinavyoendelea katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati ambazo ni wazalishaji wakubwa wa...

WANAFUNZI SEKONDARI BULYAGA WAASWA KUKABILIANA NA UKATILI

RIPOTA PANORAMA MTANDAO wa Polisi Wanawake (TPF NeT) Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya umewataka Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bulyaga kushiriki kutokomeza ukatili katika...

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI MATANKI YA KUPOKEA NA KUSAMBAZA MAFUTA.

DAR ES SALAAM RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe na msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea na kusambaza mafuta katika Bandari ya...

NDUVA AAGA, AMSHUKURU RAIS SAMIA UUNGAJI MKONO WA MTANGAMANO WA EAC

DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Veronica Nduva ametoa shukrani za dhati kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa ushirikiano wa...

TUME YAKUTANA NA MMILIKI MABASI YA ESTHER

DAR ES SALAAM TUME ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Februari 28 imekutana na...

TUME, MUFTI WATETA MATUKIO YA OKTOBA 29

DAR ES SALAAM TUME ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Februari 27,...

TANZANIA KUJITOSHELEZA KWA UZALISHAJI SUKARI 2026

MOROGORO WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo amesema Tanzania itajitosheleza kwa uzalishaji sukari kwa asilimia 100 ifikapo Juni 2026. Alisema...

SERIKALI YATOA TAHADHARI DHIDI  YA INFLUENZA, UVIKO-19, DENGUE NA KIPINDUPINDU

RIPOTA PANORAMA SERIKALI imetoa tahadhari ya kuwepo ongezeko la magonjwa ya mlipuko yakiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19, homa ya Dengue na Kipindupindu na kusisitiza...

ACT WAZALENDO YATOA MAPENDEKEZO 4

DAR ES SALAAM: NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo imetoa mapendekezo manne kwa Serikali ikitaka maboresho katika mfumo wa uwezeshaji vijana kiuchumi kwa sababu...