Tag: MCHOKONOZI

spot_imgspot_img

SPIKA MAKINDA KUWADI WA UFISADI?

  MakindaLEO ni sikukuu ya maboksi (boxing day) watu  wanapeana zawadi kwenye maboksi wakati wakiendelea kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu kristo, sikukuu kubwa kwa...

AKILI YA RAIS KIKWETE CHANGANYA ZA MBAYUWAYU

  KikweteRAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete ndiye kiongozi mkuu wa kaya yetu. Tunayatambua mamlaka aliyonayo, hatuna shaka hata kidogo na uelewa wake wa mambo hivyo...

MBATIA POPO WA KISIASA ALIYECHUJA

 MbatiaHUWEZI kuandika ukurasa mmoja wa historia ya harakati za vijana katika kutafuta na kujenga mageuzi ya Taifa hili bila kuandika jina James Francis Mbatia....

‘POSTMORTEM’ YA KICHOKONOZI YA AKILI MBILI

 Afande Barlow AKILI mbili za binadamu wawili zimeuchanganya ulimwengu. Zimefanya uchunguzi wa maiti kwa kupeleleza sababu ya kufo na kutoa majibu tofauti.Akili hizi mbili, zote...

CCM MWALIMU MZURI

 Mkutano wa kampeni za CCM IgungaMWEZI mmoja wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga uliomalizika Oktoba Mosi umetuacha na fundisho kubwa la...

RAIS KIKWETE, HISTORIA ITATUHUKUMU (1)

  KikweteRAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete, siku nyingi zijazo baada ya kufa kwetu historia itatuhukumu. Wakati huo utakapofika, natabiri miaka alfu lela na moja ijayo, wajukuu...