MBATIA POPO WA KISIASA ALIYECHUJA
Mbatia HUWEZI kuandika ukurasa mmoja wa historia ya harakati za vijana katika kutafuta na kujenga mageuzi ya Taifa hili bila kuandika jina James Francis Mbatia. Huu ndiyo…
Mkusanyiko wa habari
Mbatia HUWEZI kuandika ukurasa mmoja wa historia ya harakati za vijana katika kutafuta na kujenga mageuzi ya Taifa hili bila kuandika jina James Francis Mbatia. Huu ndiyo…
Afande Barlow AKILI mbili za binadamu wawili zimeuchanganya ulimwengu. Zimefanya uchunguzi wa maiti kwa kupeleleza sababu ya kufo na kutoa majibu tofauti. Akili hizi mbili, zote…
Mkutano wa kampeni za CCM Igunga MWEZI mmoja wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga uliomalizika Oktoba Mosi umetuacha na fundisho kubwa la jinsi wanasiasa…
Kikwete RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete, siku nyingi zijazo baada ya kufa kwetu historia itatuhukumu. Wakati huo utakapofika, natabiri miaka alfu lela na moja ijayo, wajukuu…
<!–[if !mso]>st1\:*{behavior:url(#ieooui) } <![endif]–> Lowassa KUNDI dogo la waombolezaji wa kisisasa limetawanyika katika sehemu mbalimbali za nchi yetu, huku kila mwanakikundi huko aliko akiwa anatoa kilio cha nguvu…
Jakaya Kikwete RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete amekumbwa na woga mkuu kiasi kwamba sasa anajiogopa hata yeye mwenyewe. Anaogopa kufanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wake. Hali hii…
NILIKUWA Dodoma mwezi uliopita, nilikuwa huko kwa zaidi ya wiki moja. Nilikwenda kuhudhuria uzinduzi wa bunge la kumi na shughuli nyingine kadhaa za kitaifa ikiwemo kuidhinishwa na bunge…
RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete, ninaleta mashtaka kwako. Ninamshtaki Dada Joyce Mapunjo, ananichokoza. Ananitisha kwa kutumia kaukubwa ulikompa katika ofisi yetu. Mashtaka haya nayaleta kwako kwa nia njema…
Historia ya uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, Afrika na ulimwengu kote haiwezi kusomeka kwa usahihi pasipo kuitaja Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Gazeti la Mtanzania toleo…
Mbunge wa Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na Wanafunziwa Darasa la Tatu wa Shule ya Msingi Makuburi wakati alipokwenda kukagua ukarabati wa Madarasa wa shule hiyo unaotokana na mfuko wa…