Tuesday, 6 October 2026

Mkusanyiko wa habari

Tag: <span>MCHOKONOZI</span>

ROHO IMEKUFA MWILI UNAISHI

  Mullinda NIMEFIKISHIWA ujumbe wa kienyeji kuwa watu wanaojeruhi wenzao kwa vitu vyenye ncha kali hawafurahishwi na maandishi yangu. Ujumbe huo niliofikishiwa unaeleza kuwa maandishi yangu yanawaudhi wenye…

KIBANDA HANA SHUKRANI

  Kibanda NIMEPATA fursa ya kukaa kitako na Absalom Kibanda   na kuzungumza naye mambo mengi huku anakotibiwa baada ya kuvamiwa na kujeruhiwa vibaya na genge la wahuni wanaojijua.…

WAMEMNG’OA KIBANDA JICHO LA MWILINI WAMEMUACHIA LA ROHONI

Kibanda NIKO nchini Afrika ya Kusini kwa takriban wiki moja sasa. Nimekuja kumjulia hali kaka, bosi na Mwalimu wa wachokonozi, Absalom Kibanda ambaye alivamiwa, akashambuliwa na kujeruhiwa vibaya…

NINAKUAMKIA KAKA ABSALOM KIBANDA

Kibanda ABSALOM Norman Kibanda, ninakuamkia kwa lugha adhimu ya kichokonozi, shikamoo kaka. Ninakuamkia kwa upendo uliopitiliza wa kichokonozi huko kitandani kwa wageni ulikolala ukiuguza majeraha uliyoyapata baada ya…

NINAKUAMKIA JULIUS KAMBARAGE NYERERE

J.K Nyerere MWALIMU Julius Kambarage Nyerere, ninakuamkia shikamoo. Habari za miaka 12 iliyopita?   Ninatambua umetu‘miss’ sana watanzania wako ambao hutujakuona kwa muda mrefu sasa baada ya kuondoka…

NIMEMALIZA FUNGATE NINATAKILIFU KUITALIKA SERIKALI

KWA kawaida fungate hudumu kwa muda wa siku saba. Hili ni fungate la kawaida baina ya wanandoa ambao ni mume na mke. Kwa wachokonozi fungate ni mapumziko rasmi…

KWA SABABU YA UCHAGUZI 2010 MUNGU ATUJALIE MATESO NA KILIO

YAPATA miezi nane sasa tangu nilipowaonya wapiga kura wa Tanzania waliokuwa wakifurahia kupewa ubwabwa na maharage, khanga, tisheti na kofia wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ili wawachague…

CHONDE CHONDE MPENZI SPIKA MAKINDA

  Makinda   SIKUPATA kufiriki hata siku moja kukujadili kwa heri au kwa shari kiongozi wangu mpenzi wa Bunge, Spika Anne Makinda kwa sababu ya kuhofia kukutia doa,…

SPIKA MAKINDA KUWADI WA UFISADI?

    Makinda LEO ni sikukuu ya maboksi (boxing day) watu  wanapeana zawadi kwenye maboksi wakati wakiendelea kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu kristo, sikukuu kubwa kwa wakristu…

AKILI YA RAIS KIKWETE CHANGANYA ZA MBAYUWAYU

    Kikwete RAFIKI yangu Rais Jakaya Kikwete ndiye kiongozi mkuu wa kaya yetu. Tunayatambua mamlaka aliyonayo, hatuna shaka hata kidogo na uelewa wake wa mambo hivyo tunapaswa…