Monday, 24 August 2026

REAL MADRID KUJA NA JEZI MPYA MSIMU UJAO WA LA LIGA

‎Klabu ya soka ya Real Madrid imezindua rasmi jezi yake ya nyumbani kwa msimu wa 2026/2027.‎‎Katika ujumbe wao wa utambulisho wa jezi hiyo, klabu imeeleza kuwa urembo na hadhi ndiyo sehemu muhimu ya utambulisho wake.‎‎ Aidha jezi hiyo mpya imewasilishwa kwa kauli mbiu inayosisitiza uzuri na heshima ya klabu, huku ikipatikana kwa mashabiki na wapenzi […]

‎Klabu ya soka ya Real Madrid imezindua rasmi jezi yake ya nyumbani kwa msimu wa 2026/2027.

‎Katika ujumbe wao wa utambulisho wa jezi hiyo, klabu imeeleza kuwa urembo na hadhi ndiyo sehemu muhimu ya utambulisho wake.

‎ Aidha jezi hiyo mpya imewasilishwa kwa kauli mbiu inayosisitiza uzuri na heshima ya klabu, huku ikipatikana kwa mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuanzia sasa.

‎ Uzinduzi huu unaendelea kuonyesha dhamira ya Real Madrid ya kuunganisha mafanikio ya kihistoria na mwonekano wa kisasa unaovutia mashabiki duniani kote

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *