Sunday, 11 October 2026

RAIS DKT. MWINYI APOKEA RIPOTI YA CAG ZANZIBAR YA MWAKA 2024/2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) ya mwaka 2024–2025. Ripoti hiyo imewasilishwa leo, tarehe 30 Aprili 2026, na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar, Dkt. Othman Abbas Ali, katika hafla iliyofanyika […]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) ya mwaka 2024–2025.

Ripoti hiyo imewasilishwa leo, tarehe 30 Aprili 2026, na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar, Dkt. Othman Abbas Ali, katika hafla iliyofanyika Ikulu, Zanzibar.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *