Friday, 21 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Habari Kimataifa

MWANAMKE ALIYEUA WANAYE WATANO ANYONGWA

BRUSSELS, UBELGIJI Genevieve Lhermitte, Mwanamke Raia wa Ubelgiji ambaye aliwaua watoto wake watano miaka 16 iliyopita, mapema wiki hii amenyongwa hadi kufa baada ya kuomba asaidiwa kufa. Genevieve…

PRINCE HARRY KUTIKISA UFALME WA UINGEREZA

LONDON, UINGEREZA FAMILIA ya kifalme ya Uingereza inakabiliwa na mtikisiko mkubwa baada ya mwana mfalme, Prince Harry kuandika kitabu chenye mlolongo wa malalamiko, majuto, madai na shutuma zikiwemo…

SAFARI YA MWISHO YA PAPA BENEDICTO XVI DUNIANI

VATICAN PAPA Mstaafu Benedicto XVI, Alhamis ya Januari 5, 2023 mwili wake ulizikwa kwenye kaburini lililo katika kanisa la Mtakatifu Petro, Vatican. Kwa mujibu wa vyombo vya habari…

DUNIA YAMUAGA PAPA BENEDIKTO XVI

VATICAN MWILI wa Papa Mstaafu Benedikto XVI, aliyefariki dunia Disemba 31, 2022 umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huko Vatican ambako watu kutoka mataifa mbalimbali duniani wanatoa…

PAPA BENEDICTO XVI KUTOKA 1927 HADI 2022

MASHIRIKA YA HABARI VATICAN Kardinali Joseph Aloisius Ratzinger ambaye ndiye Papa Benedicto wa XVI, ameumaliza mwendo, amepigana vita vilivyo vizuri, imani ameilinda. Papa Mstaafu Benedicto XVI aliyekuwa na…

KENYA AIRWAYS LASHINDWA KULIPA DENI LA Sh1.9 TRILIONI

RIPOTA PANORAMA WAKATI Shirika la Ndege la Kenya likiendelea kujiimarisha kwenye uwekezaji na kuongeza idadi ya ndege, taarifa kutoka Ofisi ya Hazina ya Taifa hilo imesema shirika hilo…

151 WAFARIKI KATIKA SHEREHE KOREA KUSINI

SEOUL, KOREA KUSINI WATU 151wamefariki dunia katika mkanyagano uliotokea wakati wa sherehe za Halloween mjini Seoul, Korea Kusini. Vifo hivyo vimetokea Jumamosi Oktoba 29, 2022 usiku wakati umati…

DRC YAMFUKUZA BALOZI WA RWANDA

CONGO, DRC JAMHURIi ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemfukuza balozi wa Rwanda nchini humo, Vincent Karega huku ikimpa saa 48 kuondoka nchini humo. Hatua hiyo inakuja wakati kundi…

MILIPUKO MIWILI YATIKISA MOGADISHU

MOGADISHU, SOMALIA MJI mkuu wa Somalia Mogadishu umekumbwa na milipuko miwili mchana huu. Moshi mweupe unaweza kuonekana ukifuka karibu na ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje. Moja…

SHAMBULIZI LA NDEGE ZISIZO NA RUBANI BAHARI NYEUS

MOSCOW, URUSI URUSI imeishutumu Ukraine kwa kufanya shambulizi “kubwa” la ndege zisizo na rubani kwenye makao makuu ya Meli zake katika Bahari Nyeusi mji wa bandari wa Crimea…