Makala Kitaifa

MAREKANI, CUBA: MZOZO MWINGINE UNAOSUBIRI KUITIKISA DUNIA

HAVANA, CubaRAIS wa Cuba, Miguel Diaz-Canel, hajaonesha unyonge, licha ya Taifa lake kuendelea kupewa presha kubwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Rais Trump amenukuliwa mara kadhaa akitishia kuivamia Cuba,...

LINDI YAIMARISHA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA WASH KUBORESHA AFYA ZA WANANCHI

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bi. Zuwena Omary, amesema mkoa huo unaendelea kunufaika na utekelezaji wa afua...

WAZIRI MKUU AWASILI ARUSHA KWA ZIARA YAKE YA KIKAZI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewasili mkoani Arusha kwa ziara...

BARAZA LA MADIWANI MTAMA LAKUTANA, LAPONGEZA MAFANIKIO YA MIRADI YA MAENDELEO

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama limefanya kikao chake cha robo ya tatu kwa mwaka...

VIONGOZI LONGIDO WATAKIWA KUHARAKISHA UANZISHAJI WA JUHIZINA

Viongozi wa vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido wametakiwa kuongeza kasi ya utekelezaji wa mchakato wa kuanzisha...
spot_img

MCHAWI WA WANAWAKE NI WANAWAKE WENYEWE

.MAUREEN MALLYA ASUBUHI moja tulivu katika eneo la kivuko cha Kigamboni (ferry) kuna umati mkubwa wa watu wanaosubiri kivuko, katika umati huo mimi nilikuwepo. Watu wakiwa...

KITENDAWILI CHA BABA BORA NA BABA MBEGU

MAUREEN MALLYA MIAKA kadhaa iliyopita, nikiwa binti mbichi wa miaka kumi na tisa nilimchokoza baba yangu. Nia au dhumuni langu kubwa ilikuwa kupata nafasi ya...

KUFARIKI BILA WOSIA NI KUFARIKI KIZEMBE

MAUREEN MALLYA MMOJA wa bibi zangu aliyefariki miezi michache iliyopita alikuwa na mali nyingi sana; majumba, viwanja na magari ya kifahari, alikuwa tajiri na watoto...

RIPOTI YA CAG BUNGENI, OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI IFANYIWE MAGEUZI

ABBAS MWALIMU0719 25 84 84 MJADALA mkubwa kwa sasa ni ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere inayojadiliwa bungeni, Dodoma. Ripoti...

TUMEMSAHAU MTEMI MILAMBO NA KISIMA CHAKE

GEORGINA ROESER HISTORIA ya Tanzania ina mashujaa wake. Mtemi Milambo wa Wanyamwezi ni miongoni mwa mashujaa wa Taifa letu ambaye historia yake tumeienzi kwa kuwa...

VYOMBO VYA HABARI MAREKANI NA ULAYA MAHUSUSI KWA PROPAGANDA

VYOMBO vya habari vya mataifa ya Ulaya na Marekani kwa mfano BBC, VOA, DW ni vyombo vya propaganda vya Serikali za mataifa yao. Hilo si...
spot_img