HAVANA, CubaRAIS wa Cuba, Miguel Diaz-Canel, hajaonesha unyonge, licha ya Taifa lake kuendelea kupewa presha kubwa na Rais wa Marekani, Donald Trump.
Rais Trump amenukuliwa mara kadhaa akitishia kuivamia Cuba,...
RIPOTA PANORAMA
SHILINGI bilioni 1.4 za mfuko wa tuzo na tozo wa Jeshi la Polisi, zimetumiwa vibaya na jeshi hilo kwa kuchepushwa na kutumiwa kwenye...
RIPOTA PANORAMA
HALI ni mbaya katika Hospitali ya Mloganzila. Mwenendo wa utendaji kazi siyo wa kuridhisha na katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili nako hakuna usimamizi mzuri...
DK. MOHAMED OMARY MAGUO
NI utamaduni wa kawaida, sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar ambazo husherehekewa kila ifikapo Januari 12 kuambatana na matukio mbalimbali ya kijamii,...
ABBAS MWALIMU
Wakati leo Zanzibar ikiadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi, si vibaya kupata picha ya hali ya Mapinduzi ya visiwa hivyo ilivyokuwa.
Changamoto ilianza kwenye uchaguzi wa...
SIMBA GEMBAGU NGW’ANA NJAMITI
HEKAHEKA za uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 zimeanza. Wachambuzi na wafuatiliaji wa mambo ya siasa wanabashiri kuwa iwapo mwenendo wa sasa...
SIMBA GEMBAGU NGW’ANA NJAMITI
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza mwisho wa safari yake ngumu ya miaka mitano. Safari hiyo ya jasho na damu ilianza mwaka...