Makala Kitaifa

MAREKANI, CUBA: MZOZO MWINGINE UNAOSUBIRI KUITIKISA DUNIA

HAVANA, CubaRAIS wa Cuba, Miguel Diaz-Canel, hajaonesha unyonge, licha ya Taifa lake kuendelea kupewa presha kubwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Rais Trump amenukuliwa mara kadhaa akitishia kuivamia Cuba,...

LINDI YAIMARISHA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA WASH KUBORESHA AFYA ZA WANANCHI

Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bi. Zuwena Omary, amesema mkoa huo unaendelea kunufaika na utekelezaji wa afua...

WAZIRI MKUU AWASILI ARUSHA KWA ZIARA YAKE YA KIKAZI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewasili mkoani Arusha kwa ziara...

BARAZA LA MADIWANI MTAMA LAKUTANA, LAPONGEZA MAFANIKIO YA MIRADI YA MAENDELEO

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama limefanya kikao chake cha robo ya tatu kwa mwaka...

VIONGOZI LONGIDO WATAKIWA KUHARAKISHA UANZISHAJI WA JUHIZINA

Viongozi wa vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido wametakiwa kuongeza kasi ya utekelezaji wa mchakato wa kuanzisha...
spot_img

NHIF HAITASIMAMA KWA MABADILIKO YA BEI YA KITITA – PST

RIPOTA PANORAMA CHAMA cha Wafamasia Tanzania (PST), kimeeleza kuwa mabadiliko ya bei ya kitita cha Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), hayataiwezesha kusimama imara. PST kimeeleza...

THRDC YAMPIGANIA MAKWEGA POLISI, AACHIWA, YAALANI UKIUKWAJI HAKI ZA BINADAMU

DET’U KAKELAKAMBUZI MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umewezesha kuachiwa kwa dhamana, Mwandishi wa Habari Kazimbaya Makwega aliyekuwa akishikiliwa Kituo cha Polisi Kati...

POLISI WACHUNGUZA JAMHURI MEDIA KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI

RIPOTA PANORAMA JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linachunguza tuhuma za kughushi mkataba wa ajira ilioingiwa baina ya Kampuni ya Jamhuri Media Limited na Mwandishi...

NYERERE ALIMZUIA RWEGASIRA KUWAONDOA MAKAHABA DAR ES SALAAM

FLORIAN KAIZA TANZANIA imepitia simulizi nyingi zenye kusisismua lakini hazisemwi sana kwenye vyombo vya habari hivyo vizazi vya sasa na vijavyo havijui na havitajua mambo...

UJERUMANI YAWAANGUKIA WATANZANIA

*Yawaomba radhi kwa ukatili iliofanya Vita ya Majimaji RIPOTA PANORAMA UJERUMANI imewaangukia watanzania ikiwaomba radhi kwa ukatili iliofanya wakati wa Vita ya Majimaji iliyopiganwa kuanzia mwaka...

TANAPA ‘YATAFUNA’ BILIONI 1.95, CAG ATAKA ZIRUDISHWE

RIPOTA PANORAMA SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA), limetakiwa kurejesha Shilingi bilioni 1.95 ambazo ukaguzi wa matumizi yake haukuthibitika. Aliyependekeza fedha hizo zirejeshwe ni Mdhibiti na...
spot_img