RIPOTI MAALUM
BANDARI ZA TANZANIA JUU YA USO WA DUNIA
MAKALA MAALUMU
USHINDANI wa sasa wa Bandari za Tanzania kikanda na kimataifa umeiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia katika sekta ya uchukuzi na usafirishaji.
Bandari za Tanzania sasa zinatoa ushindani mkubwa...
RIPOTI MAALUM
NHC YAMWAGIA VITOFALI TAIFA – MIRADI YAPAA KAMA MOTO WA JANGWANI
MAKALA YA MTANGAZAJI
KAMA kuna jambo linaloonesha maendeleo kwa macho na kuguswa moja kwa moja na maisha ya wananchi, basi ni pale unaposhuhudia majengo mapya...
RIPOTI MAALUM
CHANGAMOTO 5 ZILIZOTIKISA TANAPA 2023/2024
MAKALA YA MTANGAZAJI
UFINYU wa Bajeti, uingizwaji wa mifugo kwenye Hifadhi za Taifa kinyumwe cha sheria, mabadiliko ya tabianchi, kuchelewa kupata fedha za kutekeleza miradi...
RIPOTI MAALUM
NAIBU WAZIRI MNYETI ALIVYOKAANGWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU
RIPOTI MAALUMU (5)
CHARLES MULLINDA
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, wakati ikichunguza tuhuma za Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti za...
RIPOTI MAALUM
USHAHIDI TUHUMA ZA NAIBU WAZIRI MNYETI KIELELEZO KINACHOISHI
RIPOTI MAALUMU (4)
CHARLES MULLINDA
MASHAHIDI 12 waliohojiwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyochunguza tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya...
RIPOTI MAALUM
TISS, POLISI, TAKUKURU, TRA, DPP WATAJWA SAKATA LA N/ WAZIRI MNYETI
RIPOTI MAALUMU (3)
CHARLES MULLINDA
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti, akiwa Mkuu wa Mkoa (RC) wa Manyara aliunda kamati ya kuchunguza ujangili kwenye...
RIPOTI MAALUM
NAIBU WAZIRI MNYETI AKUTWA HANA MAADILI NA MVUNJA KATIBA
RIPOTI MAALUMU (2)
CHARLES MULLINDA
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti ni mtovu wa maadili, anakiuka haki za binadamu na utawala bora na mvunja...
RIPOTI MAALUM
TUHUMA MIKOPO CHECHEFU ZACHAMBULIWA (1)
RIPOTA PANORAMA
SAKATA la tuhuma za kuwepo mikopo chefuchefu linalohusisha baadhi ya wafanyabiashara wenye ukwasi mkubwa, kampuni zao, benki, mawakili na watumishi wa mahakama limezungumziwa...
RIPOTI MAALUM
MAJIBU YA TPA KWA BAJETI 2022/23 NA ILANI YA CCM 2020/2025
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), ni Taasisi ya Serikali iliyokasimiwa wajibu wa kusimamia utendaji na uendeshaji wa shughuli za bandari za mwambao...
HABARI
EL NINO YATEPETESHA SERENGETI, WATAALAMU TANAPA WAKUNA VICHWA WAKIELEKEA UNESCO
MVUA za El Nino zinazoendelea kunyesha nchini; na ambazo hazijapata kunyesha kwenye Hifahi ya Taifa ya Serengeti kwa takriban miaka 64, zimeitepetesha na kusababisha...
RIPOTI MAALUM
KAMPENI YA KUDAI MADENI WADAIWA SUGU WA KODI YA NYUMBA NHC INAENDELEA
KAMPENI ya kudai madeni wadaiwa sugu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), yenye mambo nane muhimu inaendelea nchi nzima.
NHC lilizindua kampeni hiyo Agosti,...

