Monday, December 23, 2024
spot_img

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ALIPOTEMBELEA MAONYESHO YA WIZARA YA NISHATI

MATUKIO katika picha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alpotembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati katika viwanja vya Bunge, Dodoma, Mei 30, mwaka huu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Waziri wa Nishati, January Makamba vocha itakayomuwezesha kuchukuwa mitungi ya gesi ili kuigawa kwa wananchi ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia baada ya kutembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) alipotembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati, January Makamba wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuja na Kushoka Tools Manufactures Group, Leonard Kushoka (kushoto) walipotembelea mabanda ya maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya