Monday, December 23, 2024
spot_img

HABARI PICHA WAZIRI MKUU , KASSIM MAJALIWA BUNGENI MEI 29 NA MEI 30, 2023

Matikio katika picha ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika vikao vya Bunge la Bajeti Mei 29 na Mei 30, 2023.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stagomena Tax bungeni jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, bungeni jijini Dodoma, Mei 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, bungeni jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stagomena Tax bungeni jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula bungeni jijini Dodoma, Mei 30, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya