PICHA 1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati) akiongoza kikao cha tatu cha kikundi kazi cha Taifa cha nishati safi ya kupikia ambacho kilishirikisha mawaziri wanaosimamia sekta zinazohusika na mradi huo wakiongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, makatibu wakuu wa wizara, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wadau kutoka sekta binafsi Mei 19, 2023, jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama na kushoto ni Waziri wa Nishati, January Makamba.
PICHA 2
Waziri wa Nishati, January Makamba akizungumza wakati wa kikao cha tatu cha kikundi kazi cha Taifa cha nishati safi ya kupikia ambacho kilishirikisha mawaziri wanaosimamia sekta zinazohusika na mradi huo wakiongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, makatibu wakuu wa wizara, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wadau kutoka sekta binafsi Mei 19, 2023, jijini Dodoma
PICHA 3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha tatu cha kikundi kazi cha Taifa cha nishati safi ya kupikia ambacho kilishirikisha mawaziri wanaosimamia sekta zinazohusika na mradi huo wakiongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, makatibu wakuu wa wizara, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wadau kutoka sekta binafsi Mei 19, 2023, jijini Dodoma.
PICHA 4
Baadhi ya mawaziri waliohudhuria kikao cha tatu cha kikundi kazi cha Taifa cha nishati safi ya kupikia ambacho kilishirikisha mawaziri wanaosimamia sekta zinazohusika na mradi huo wakiongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, makatibu wakuu wa wizara, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wadau kutoka sekta binafsi Mei 19, 2023, jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki na Waziri wa Madini, Doto Biteko (katikati).
PICHA 5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Consumer’s Choice Limited, Isack Danford (kulia) kuhusu nishati safi ya kupikia baada ya kuongoza kikao cha tatu cha kikundi kazi cha Taifa cha nishati safi ya kupikia ambacho kilishirikisha mawaziri wanaosimamia sekta zinazohusika na mradi huo wakiongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, makatibu wakuu wa wizara, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wadau kutoka Sekta Binafsi Mei 19, 2023, jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama na wa tatu kushoto ni Waziri wa Nishati, January Makamba.
PICHA 6
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza wakati wa kikao cha tatu cha kikundi kazi cha Taifa cha nishati safi ya kupikia ambacho kilishirikisha mawaziri wanaosimamia sekta zinazohusika na mradi huo wakiongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, makatibu wakuu wa wizara, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wadau kutoka sekta binafsi Mei 19, 2023, jijini Dodoma.
PICHA 7
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali (kushoto) na wadau wengine wa nishati safi ya kupikia wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa kikao cha tatu cha kikundi kazi cha Taifa cha nishati safi ya kupikia ambacho kilishirikisha mawaziri wanaosimamia sekta zinazohusika na mradi huo wakiongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, makatibu wakuu wa wizara, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wadau kutoka sekta binafsi Mei 19, 2023, jijini Dodoma