PICHA NAMBA 1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023.
PICHA NAMBA 2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Charles Kaijege bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023.
PICHA NAMBA 3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023.
PICHA NAMBA 4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini, Hamisi Taletale bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023.
PICHA NAMBA 5
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2023/24, bungeni jijini Dodoma, Mei 29, 2023. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)