Tuesday, December 24, 2024
spot_img

RAIS SAMIA AKETI MEZANI USWISI NA MABINGWA WA UCHUMI DUNIANI

HABARI KATIKA PICHA

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali duniani wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi duniani ulioanza Januari 19, 2023 katika Jiji la Davos nchini Uswisi
Rais Samia Suluhu Hassan akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza kwenye mjadala wa masuala ya nishati uliofanyika kwenye ukumbi wa Congress uliopo jijini Davos nchini Uswisi. Rais Samia yupo Uswisi anakohudhuria mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi duniani.
Rais Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati wa mjadala wa masuala ya nishati uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Congress uliopo jijini Davos nchini Uswisi. Rais Samia yupo Uswsi anakohudhuria mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchuni duniani.
Rais Samia Suluhu Hassan akifuatilia kwa karibu mjadala kuhusu masuala ya nishati uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Congress jijini Davos Uswisi Januari 19, 2023. Rais Samia yuko nchini Uswisi akihudhuria mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Ychimi duniani.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji uliofanyika kwenye ukumbi wa Congress jijini Davos Uswisi, Januari 19, 2023. Rais Samia yupo nchini Uswisi akishiriki mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi duniani.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Poland, Andrzaj Duda baada ya kukutana jijini Davos, Uswisi kwenye mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi duniani.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Uswis Alain Berset nchini humo anakohudhuria mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi duniani.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Dk. Abdallah Saleh Possi ambaye pia ni mwakilishi wa Tanzania nchini Austria, Bulgaria, Jamhuri ya Czech, Hungary, Poland, Romania, Slovakia, Vatican na Uswisi muda mfupi baada ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi duniani unaofanyika nchini Uswisi.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa mikutano wa Congress, jijini Davos, Uswisi. mkutano huo ulifanyika Januari 19, 2023.






Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya