Google search engine

Uncategorized

MEYA MAXMILIAN IRANQHE AKUTANA NA WADAU WA USAFI JIJINI ARUSHA

Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maxmillian Iranqhe, amefanya kikao kazi kilichowakutanisha Maafisa Afya kutoka kata zote 25, wakandarasi wa huduma ya uzoaji taka pamoja na mawakala wa ukamataji...

TUME YAKUTANA NA MMILIKI MABASI YA ESTHER

DAR ES SALAAM TUME ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Februari 28 imekutana na...

DRC YASHANGAZWA NA UBORA WA MATIBABU MUHIMBILI

DAR ES SALAAM GAVANA wa Jimbo la Maniema, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Moise Kabwankubi ameongoza ujumbe wa nchi hiyo kuzuru Hospitali ya Taifa...

KANISA KONGWE ZAIDI TANZANIA LIMEBEBA HISTORIA KUBWA

https://www.youtube.com/watch?v=5704Nx98r5A

KOCHA ALIYEKUFUZWA YANGA, AOMBA KURUDI

KOCHA mkuu wa zamani wa Yanga, Mbelgiji Tom Saintfiet, ni miongoni mwa makocha watano walioomba kibarua cha kuifundisha timu hiyo, kwa ajili ya msimu...

BEKI ALIYEWINDWA SIMBA KUTUA AZAM

KLABU ya Azam inatarajia kukamilisha usajili wa beki wa kati wa timu ya Coastal Union, Lameck Lawi, kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi...

YANGA YATAJWA KUSAJILI WAKALI WATANO

Beki wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Bakari Malima, 'Jembe Ulaya', amesema klabu yake inatakiwa kusajili wachezaji wapya watano kwa ajili ya msimu...

BALOZI MATINYI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN

Mteule wa Rais Samia Suluhu Hassan na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI...

WAINGEREZA WAKARIBISHWA KUWEKEZA NISHATI JADIDIFU

RIPOTA MAALUMU KAMPUNI za Uingereza zimearikwa kuja nchini kuwekeza kwenye Sekta ya Nishati husasn nishati jadidifu. Ukaribisho huo umetolewa hivi karibuni na Katibu Mkuu wa Wizara...

VITONGOJI 135 PWANI KUPATA UMEME

MOHAMED SAIF VITONGOJI 135 vya Mkoa wa Pwani vipo mbioni kupata huduma ya umeme baada ya kupatikana kwa mkandarasi wa kutekeleza mradi wa usambazaji umeme...

DAR ES SALAAM MPYA YA 711 KAWE YAJA 2026

MAKALA YA MTANGAZAJI TASWIRA ya Jiji la Dar es Salaam itabadilika kabisa ifikapo April, 2026 baada ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa nyumba za...