Saturday, 22 August 2026

HABARI PICHA WAZIRI MKUU AKIWA KWENYE VIKAO VYA BUNGE, DODOMA

PICHA 1 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, bungeni jijini Dodoma, Mei 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PICHA NAMBA 2 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama […]

PICHA 1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, bungeni jijini Dodoma, Mei 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza bungeni jijini Dodoma, Mei 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 3, 4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama (kushoto) na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, bungeni Jijini Dodoma, Mei 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 5, 6, 7

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge mbalimbali ndani ya ukuimbi wa Bunge Jijini Dodoma. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *