Thursday, July 17, 2025
spot_img

HABARI PICHA MATUKIO YA WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA

PICHA KUBWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole – Sendeka, bungeni jijini Dodoma, Aprili 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda, bungeni jijini Dodoma, Aprili 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 3

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Pindi Chana (katikati) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA NAMBA 6

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya