Tuesday, December 24, 2024
spot_img

HABARI PICHA SHUGHULI ZA BUNGE, DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma, Aprili 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA YA 2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma, Aprili 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PICHA YA 3, 4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba (kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako (katikati) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi,  bungeni jijini Dodoma, Aprili 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya