Tuesday, December 24, 2024
spot_img

HABARI PICHA ZIARA YA RAIS SAMIA CHINA

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, uliopo Beijing, jana
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika ukumbi wa The People Great Hall, uliopo Beijing, jana.
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Xi Jinping wakiwasili katika ukumbi wa The People Great Hall uliopo Beijing, jana.
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Xi Jinping wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa kwenye ukumbi wa The People Great Hall, uliopo Beijing, jana
Rais Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake, Rais Xi Jinping wakati akikagua gwaride la heshima katika ukumbi wa The People Great Hall, uliopo Beijing jana.
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Xi Jinping wakati akikagua gwaride la heshima katika ukumbi wa The People Great Hall, uliopo Beijing, jana.
Rais Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake wakiwa kwenye mazungumzo na Rais Xi Jinping, mjini Beijing jana.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing, China.
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Xi Jinping utiaji saini mikataba mbalimbali baina ya Tanzania na China jana.

Nyingine Zinazohusiana na Hii

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Tufuatilie

0FansLike
3,913FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Habari Nyingine Mpya