Saturday, 22 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Habari Kimataifa

SERIKALI YATOA TAMKO MKUTANO WA SHIRIKA LA MAKAZI DUNIANI

RIPOTA PANORAMA Nairobi, Kenya SERIKALI imesema kuwa imeongeza kasi ya kuboresha miundombinu, makazi na huduma za jamii kwenye maeneo ya mijini na vijijini ili kuwawezesha watu wote kuishi…

TANZANIA KUTOA TAMKO UN-HABITAT KESHO

RIPOTA PANORAMA Nairobi, Kenya TANZANIA, kesho itatoa tamko kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa (UN-HABITAT) kuhusu hatua inazochukua kukabiliana na changamoto za makazi…

MKUTANO WA UN – HABITAT WAANZA NAIROBI KENYA

RIPOTA PANORAMA Nairobi, Kenya MKUTANO Mkuu wa Shirika la Makazi duniani (UN – HABITAT) unaanza kesho jijini Nairobi, Kenya ukiwa na kauli mbiu isemayo hatma ya miji endelevu…

RAIS WA UKRAINE AINGIA VATICAN KWA GARI LA KIVITA

Vatican RAIS wa Ukraine, Vlodymyr Zelensky, Jumamosi ya Mei 13, 2023 aliingia makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani, Vatican akitumia gari la kivita na kufanya mazungumzo ya faragha…

SABABU WACHUNGAJI KUWA NA USHAWISHI MKUBWA KWA WAFUASI WAO

RIPOTA MAALUMU IMEELEZWA kuwa wachungaji wa madhehebu ya dini wana nguvu ya ushawishi dhidi ya wafuasi wao kwa sababu huwa wanajifunza mbinu za kutumia kuwakusanya katika makanisa yao.…

WATU 130 WALIOFARIKI KWA MAFURIKO RWANDA WAZIKWA

MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA WATU 130 waliofariki dunia baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha siku ya Mei 4, usiku katika mikoa ya Magharibi…

TRUMP KUGOMBEA TENA URAIS 2024

Florida, Marekani RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuwania tena nafasi ya urais wa nchi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika 2024. Trump alitangaza nia yake hiyo…