Tag:
MCHOKONOZI
Mchokonozi
WAKO WAPI MAKACHERO WA KESI YA UNGA YA HARIRI NA MUNA
CHARLES MULLINDA
SERIKALI imeshindwa. Imeshindwa kesi mahakamani. Imeshindwa na mfanyabiashara Mohamedi Hariri na mkewe Muna Said, waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la kukutwa na dawa za...
Uncategorized
JINA LA TUNDU LISSU LINAPOANDIKWA KATIKA KITABU CHA HUKUMU
NA CHARLES MULLINDA KWA mara nyingine, historia ya siasa za Tanzania inaandikwa upya baada ya jina la Tundu Lissu kuchomekwa katika kitabu cha hukumu...
Mchokonozi
HISTORIA INAPOMTANGULIZA LISSU MBELE YA KIVULI CHA URAIS WA DHAMBI
NA CHARLES MULLINDA
HISTORIA, licha ya kuwa mwalimu mzuri ina tabia ya kujirudia. Matukio mengi, mazuri na mabaya yaliyopata kutokea na yanayotokea sasa yamo katika...
Uncategorized
RAIS POMBE ANA JESHI LA KALE
Rais MagufuliRAIS John Pombe anaweza kushindwa. Anaweza kushindwa kupata mafanikio ya kuridhisha katika mapambano dhidi ya ufisadi kwa sababu jeshi lake lina wapiganaji...
Mchokonozi
KESHO TUTACHEKWA PAMOJA NA KIKWETE
KILA ninaipoitazama Tanzania ya kesho ninawaona watoto wa watoto wetu wakitucheka kwa kushindwa kuiishi misingi ya utawala bora, kutofuata sheria za nchi, wanasiasa kuendekeza...
Mchokonozi
HISTORIA IANDIKWE UPYA SASA (1)
NI jambo la bahati mbaya sana kwamba wapo baadhi ya watu ambao husoma maandishi ya kichokonozi bila kuyaelewa na wapo pia wengine ambao husoma...
Uncategorized
ROHO IMEKUFA MWILI UNAISHI
MullindaNIMEFIKISHIWA ujumbe wa kienyeji kuwa watu wanaojeruhi wenzao kwa vitu vyenye ncha kali hawafurahishwi na maandishi yangu. Ujumbe huo niliofikishiwa unaeleza kuwa maandishi yangu...

