Google search engine

BIASHARA NA UCHUMI

MWELEKEO SAHIHI TRC

MAKALA YA MTANGAZAJI UKURASA mpya wa Tanzania kuelekea mafanikio ya kibiashara na kuwa na miundombinu ya uhakika katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, umefunguliwa na Shirika la Reli Tanzania...

HAZINA YA DHAHABU BoT KUPANDISHA THAMANI YA SARAFU

RIPOTA PANORAMA SARAFU ya Tanzania inatarajiwa kupanda thamani baada ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuanza kununua na kuhifadhi dhahabu inayozalishwa hapa nchini. Hayo yameelezwa na...

SERA ZA FEDHA ZACHOCHEA UKOPAJI SEKTA BINAFSI

RIPOTA PANORAMA UTEKELEZA wa sera za fedha na mpango wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara, vimechochea kuongozeka kwa mikopo katika sekta binafsi ambayo sasa imefikia...

2023 ‘FUKO LA FEDHA’ KUKUSANYA USD BIL 85.4

RIPOTA PANORAMA UCHUMI wa Tanzania unatarajiwa kukua hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 85.5 mwaka 2023. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu...

WANAOISHI CHINI YA MSTARI WA UMASIKINI ULIOKITHIRI, WAKILA ELFU 33 KWA MWEZI WAPUNGUA

RIPOTA PANORAMA ASILIMIA 8 ya Watanzania wanaishi chini ya umasikini uliokithiri, wakitumia chini ya Shilingi 33,748 kwa mwezi kwa mahitaji ya chakula cha mtu mzima. Kwa upande wa...

SURA YA BAJETI YA TANZANIA 2023/24

RIPOTA PANORAMA SURA ya Bajeti ya Serikali ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2023/24, inaonyesha kuwa mapato ya ndani yatakayokusanywa na Mamlaka ya Mapato (TRA)...

2023/24 – BAJETI YA KUJITEGEMEA KWA ASILIMIA 70

RIPOTA PANORAMA TANZANIA itajitegemea kwa asilimia 70 katika bajeti yake ya mwaka wa fedha 2023/24 inayotarajiwa kuwa Shilingi trilioni 44.39. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk....

SERIKALI YATOA KAULI BENKI YAKE KUTOKAGULIWA NA CAG

RIPOTA PANORAMA SERIKALI imesema Benki ya Biashara ya DCB inayoimiliki; hesabu zake hazijapata kukaguliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa...

MIAKA 20 BENKI YA SERIKALI HAIJAKAGULIWA NA CAG

RIPOTA PANORAMA BENKI ya Biashara ya DCB ya jijini Dar es Salaam ambayo Serikali ndiye mwanahisa mkubwa ikimiliki asilimia 63 ya mtaji wote, kwa takribani miaka...

SYMBION MASWALI LUKUKI

RIPOTA PANORAMA SAKATA linalotokota chini kwa chini kwa muda mrefu sasa linalohusu Kampuni ya Symbion Power LLC kulipwa na Serikali, Shilingi bilioni 350 huku ikiwa...

TRA- HAKUNA KODI KUSAFIRISHA MAZAO YA CHAKULA NJE YA NCHI

RIPOTA PANORAMA MAMLAKA ya Mapato (TRA) imesema mazao ya chakula yanayosafirishwa kutoka nchini kwenda kuuzwa nje ya nchi hayatozwi kodi ya aina yoyote na mamlaka...