Habari Kimataifa
MCHUNGAJI, BIBI HARUSI WATEKWA NYARA
Nigeria
MCHUNGAJI na bibi harusi ni miongoni mwa watu takriban 20 waliotekwa nyara siku ya jumapili nchini Nigeria.
Kwa mujibu wa mashirika ya habari ya nchini humo, watru hao walitekwea nyara...
Habari Kimataifa
RAIS KABILA ADAIWA SI MTOTO WA RAIS KABILA
Kinshasa DRC
BAADHI ya maafisa wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), waibua madai kuwa rais wa mstaafu wa nchi hiyo, Joseph Kabila...
Habari Kimataifa
CHAKULA CHANUNULIWA KWA TAKA ZA PLASTIKI
MASHIRIKA YA HABARIÂ YA KIMATAIFA
TAKA za plastiki sasa zinatumika kununua chakula kwenye migahawa nchini India.
Kwa mujibu wa mashirika ya habari ya kimataifa, manunuzi ya chakula...
HABARI
BALOZI MATINYI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN
Mteule wa Rais Samia Suluhu Hassan na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI...
Habari Kimataifa
SAM NUJOMA AFARIKI DUNIA
RIPOTA PANORAMA
RAIS wa kwanza wa Namibia, Sam Nujoma amefariki duniani leo akiwa na umri wa miaka 95.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya...
Habari Kimataifa
NANDI NDAITWAH RAIS WA KWANZA MWANAMKE NAMIBIA
MASHIRIKA YA HABARI
MAKAMU wa Rais wa Namibia, Netumbo Nandi Ndaitwah ametangazwa mshindi wa nafasi ya Rais nchini Namibia kwa kupata asilimia 57 ya kura...
Habari Kimataifa
ISRAEL YAMTISHA KIONGOZI MPYA WA HEZBOLLAH
MASHIRIKA YA KIMATAIFA
WAZIRI wa Ulinzi wa Israel, Yoav Gallant ametuma ujumbe kwenye mtandao wa X unaoeleza kuwa uteuzi wa kiongozi mpya wa kundi la...
Habari Kimataifa
MADAKTARI WASAIDIA KUFA MUME NA MKE
WANANDOA Jan aliyekuwa na umri wa miaka 70 na Els aliyekuwa na umri wa miaka 71 wamefariki dunia mapema mwezi Juni, 2024 baada ya...
Habari Kimataifa
MTUNZA FUNGUO ZA AL – KAABA AFARIKI DUNIA
MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA
MTUNZA funguo za eneo takatifu kwa waumini wa dini ya kiislamu, Dk. Saleh bin Zainul Abedin Al Shebi amefariki dunia...
Habari Kimataifa
PAPA AHUBIRI UMOJA, AKATAA UNAJISI
Vatican
PAPA wa Kanisa Katoliki ambaye ni Askofu wa Roma, Papa Fransisco amewataka waumini wa Kanisa Katoliki kuishi katika umoja na kutotengana kwa sababu ya...
Habari Kimataifa
ZUMA AHUKUMIWA
MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA
RAIS wa zamani wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma amezuiwa na Mahakama ya Juu ya Kikatiba ya nchi hiyo kugombea...

