Google search engine

Makala Kitaifa

WATATU WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KWA MOTO KATAVI

RIPOTA PANORAMA KAMANDA wa Polisi, Mkoa wa Katavi, SACP Kaster Ngonyani amethibitisha vifo vya watu watatu wa familia moja na wengine watatu kujeruhiwa kwa ajali ya moto iliyotokea katika Kijiji...

VITA YA UTAPIAMLO IRINGA, NJOMBE IWE ENDELEVU

MWANDISHI MAALUMU KARIKA historia ya maendeleo ya binadamu, afya na lishe zimekuwa nguzo kuu za ustawi wa jamii na taifa. Hali ya mtoto anapokua siyo...

UWEKEZAJI TEHAMA SEKTA YA AFYA KUSAIDIA VITA YA UTAPIAMLO NA UDUMAVU IRINGA, NJOMBE

MWANDISHI MAALUMU KATIKA bajeti ya mwaka 2025/26, Serikali imetambulisha mpango wa kuimarisha mfumo wa afya unaolenga huduma bora za afya na lishe. Bajeti hiyo...

MAWIO YACHOMOZA BANDARI YA TANGA

MAKALA YA MTANGAZAJI NIMEKUTANA na kufanya mahojiano ya ana kwa ana na Meneja wa Bandari ya Tanga, Masoud Athuman Mrisha kuhusu mwenendo wa shughuli za...

Bandari ya Tanga sasa ina mambo mapya

Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa na serikali kuiboresha kivifaa, mitambo na upanuzi wa magati, yameipa bandari ya Tanga, sura na uwezo mpya wa kibandari. Tanzania Panorama...

IFAHAMU TIL, KAMPUNI TANZU YA UWEKEZAJI YA TANAPA

MAKALA YA MTANGAZAJI TANAPA Investiment Limited (TIL) ni jina geni kwenye orodha ya kampuni za uwekezaji na uzalishaji mali zinazomilikiwa na Mashirika ya Umma ambayo imefungua...

ANGELLAH KAIRUKI AMESHIKA NDOTO YA RAIS SAMIA YA 2025  

MAKALA MAALUMU NDOTO ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuongeza idadi ya watalii nchini hadi kufikia milioni tano ifikapo mwaka 2025 na pato la Taifa...

MWANZO MPYA WA ANGELLAH KAIRUKI KUELEKEA TANAPA YA MAFANIKIO

MAKALA MAALUMU ULINZI na uhifadhi wa maliasili, utatuzi wa migogoro ya maeneo baina ya Hifadhi za Taifa na vijiji, uboreshaji maeneo ya malisho ya wanyama,...

MAENDELEO YA WATU, HUJUMA NA UHALIFU, UHABA WA DOLA MWIBA KWA MALENGO YA WIZARA YA NISHATI 2023/24

MAKALA MAALUMU UZALISHAJI wa umeme na gesi asilia kwa mwaka 2023/24 haukuendana na mahitaji yaliyopo nchini kwa sababu ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi na...

HATUA 6 MUHIMU ZA DK. BITEKO SEKTA YA NISHATI MWAKA 2023/2024

MAKALA MAALUMU DK. DOTTO Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati amepiga hatua sita muhimu katika utekelezaji wa majukumu ya wizara anayoiongoza pamoja...

MWELEKEO WA UTEKELEZAJI SHUGHULI ZA TPA BAJETI YA 2024/2025

MAKALA MAALUMU MWELEKEO wa Utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 umejikita kwenye Ilani ya...