Friday, 21 August 2026

Mkusanyiko wa habari

Tag: <span>MAHOJIANO</span>

LA MHE. JERRY SILAA LINAIBUA HOJA KUHUSU OGP

Jerry Silaa   NA ABBAS MWALIMU 0719 25 84 84    SPIKA wa Bunge, Mheshimiwa Job Justino Ndugai hivi karibuni aliamuru Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mheshimiwa Jerry…

MFANYABIASHARA FIDA HUSSEIN AKIRI KUUZA VIATU 'VIBOVU

Viatu vibovu vinavyouzwa kwenye duka la mfanyabiashara Abbas Fida Hussein, lililopo Mtaa India, Dar es Salaam   RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 MFANYABIASHA wa vifaa vya ujenzi,…

RIPOTI YA CAG NA HAJA YA KUJITATHMINI

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere   ABBAS MWALIMU 0719258484 Habari kubwa katika vyombo vya habari na mijadala inayoendelea kwenye jamii kwa sasa…

MAJIBU YA MASWALI YALIYOLETWA NA WWF NA UNESCO

  RIPOTI MAALUMU (4) Hii ni sehemu ya nne ya ripoti maalumu ya utafiti wa kitalaamu kuhusu hofu, majibu ya hofu, athari za mazingira, mipango ya kudhibiti athari…

UKOSOAJI WA WAZUNGU MRADI WA UMEME WA MAJI MTO RUFIJI

Bwawa la Julius Nyerere   RIPOTI MAALUMU (3) HII ni sehemu ya tatu ya ripoti maalumu ya utafiti uliofanywa na watalaamu bingwa wazalendo dhidi ya hekahela za wazungu…

LISSU, CHADEMA NA SIRI YA KIVULI CHA MAUTI

  NA CHARLES MULLINDA KUNA mijadala mingi inayoendelea kuhusu kushambuliwa na Serikali na Bunge kumtelekeza kwa kutomlipia gharama za matibabu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…

WARAKA WA VIJANA WA ACT WAZALENDO KWA ZITTO, MEMBE

  Mgombea urais wa ACT ni Zitto au Membe  SISI Vijana wa ACT kutoka mikoa mbalimbali tunaendelea kusikitishwa na mwenendo wa uendeshaji wa chama chetu ambapo mpaka sasa…