Wednesday, 7 October 2026

Mkusanyiko wa habari

Tag: <span>MAHOJIANO</span>

TUMEMSAHAU MTEMI MILAMBO NA KISIMA CHAKE

  NA GEORGINA ROESER HISTORIA ya Tanzania ina mashujaa wake. Mtemi Milambo wa Wanyamwezi ni miongoni mwa mashujaa wa Taifa letu ambaye historia yake tumeienzi kwa kuwa na…

TANZANIA INUNUE PETROLI IWEKE AKIBA

  NA GEORGINA ROESER BEI ya Petroli iimeshuka. Iko chini sana karibu duniani kote. Hii ilitokana na uzalishwaji mkubwa wa mafuta huko Urusi na Saudi Arabia. Mataifa haya…

VITA YA KAGERA ALAMA YA UMOJA NA UZALENDO WA MTANZANIA

  NA GEORGINA ROESER NIMEMALIZA kuangalia kipindi maalumu cha vita ya Kagera kilichorushwa na Televisheni ya Taifa (TBC). Ni kipindi chenye matukio mengi ya kujifunza na binafsi kimeniacha…

DK. KASHILILAH: BUNGE LA SAMUEL SITTA

DK THOMAS KASHILLILAH NA CHARLES MULLINDA Mwandishi Mwandamizi wa Jarida la Umoja, Charles Mullinda alifanya mahojiano ya ana kwa ana na Katibu Mkuu wa Bunge, Dk.Thomas Kashillilah kuhusu…