Tuesday, 6 October 2026

Mkusanyiko wa habari

Tag: <span>HABARI</span>

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAZISHI YA ABE

RIPOTA WA WAZIRI MKUU TOKYO, JAPAN WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameungana na wakuu wa nchi na viongozi 700 kutoka nchi 195 na mashirika ya kimataifa 23 kuweka mashada…

JAPAN KUNUNUA KILO MILIONI 30 ZA TUMBAKU TANZANIA

Uzalishaji wa Tumbaku Tanznania RIPOTA WA WAZIRI MKUU TOKYO, JAPAN KAMPUNI ya Japan Tobacco Incorporation (JTI) imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania…

WAZIRI MKUU AWASILISHA SALAMU ZA RAIS SAMIA JAPAN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Japan, Fumo Kishida. Waziri Mkuu Majaliwa yupo Japan kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu…

KASHFA ZAMWANDAMA DIWANI RWAKATARE

Diwani Mutta Rwakatare akiwa katika moja ya matukio yasiyokuwa ya kawaida RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 IKIWA imepita miezi michache baada ya Meya wa Halmashauri ya Wilaya…

MAHAKAMA KUU YASAKA FAILI KESI YA ARDHI KINONDONI

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni, Hanifa Hamza RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imelitafuta bila mafanikio faili la kesi ya mgogoro wa…