Chief Reporter
Uncategorized
MEYA MAXMILIAN IRANQHE AKUTANA NA WADAU WA USAFI JIJINI ARUSHA
Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maxmillian Iranqhe, amefanya kikao kazi kilichowakutanisha Maafisa Afya kutoka kata zote 25, wakandarasi wa huduma ya uzoaji taka...
Habari Kitaifa
MHARIRI MAKARANGA AFARIKI DUNIA
DAR ES SALAAM
MWANDISHI na Mhariri mkongwe nchini, Revocatus Makaranga amefariki dunia leo Machi 5, 2026 muda mfupi baada ya kufikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
Makala Kitaifa
WATATU WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KWA MOTO KATAVI
RIPOTA PANORAMA
KAMANDA wa Polisi, Mkoa wa Katavi, SACP Kaster Ngonyani amethibitisha vifo vya watu watatu wa familia moja na wengine watatu kujeruhiwa kwa ajali...
Habari Kitaifa
10 MBARONI KWA TUHUMA ZA UTAPELI
RIPOTA PANORAMA
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za utapeli kwa kutumia mitandao ya simu.
Kati yao, saba wamekamatwa wakiwa na...
Habari Kitaifa
HAKUNA UHABA WA MAFUTA ZANZIBAR
RIPORA PANORAMA
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema kuwa licha ya vita vinavyoendelea katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati ambazo ni wazalishaji wakubwa wa...
Habari Kitaifa
WANAFUNZI SEKONDARI BULYAGA WAASWA KUKABILIANA NA UKATILI
RIPOTA PANORAMA
MTANDAO wa Polisi Wanawake (TPF NeT) Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya umewataka Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bulyaga kushiriki kutokomeza ukatili katika...
Habari Kitaifa
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI MATANKI YA KUPOKEA NA KUSAMBAZA MAFUTA.
DAR ES SALAAM
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe na msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea na kusambaza mafuta katika Bandari ya...
MICHEZO
YANGA VS SIMBA NI DERBY YA HESHIMA NA UBABE
MWANDISHI WETU
ZANZIBAR:
MSEMAO wa 'mtani hutoki leo' umekuwa maarufu nje ya Uwanja wa Amani, Visiwani Zanzibar ambapo mashabiki mbalimbali wa Yanga na Simba wamekuwa wakitumia...
Join our community of SUBSCRIBERS and be part of the conversation.
To subscribe, simply enter your email address on our website or click the subscribe button below. Don't worry, we respect your privacy and won't spam your inbox. Your information is safe with us.

