Habari Kitaifa
RSA TANZANIA, MADEREVA NA WCF WAADHIMISHA SIKU YA WAATHIRIKA WA AJALI DUNIANI
Madereva wa vyombo vya moto wameaswa kutambua wajibu na nafasi yao katika kuhakikisha usalama barabarani nchini unaimarika, ili kuifanya Tanzania kuwa katika uelekeo sahihi wa utekelezaji wa Azimio…
