Google search engine

Bandari ya Tanga sasa ina mambo mapya

Share

Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa na serikali kuiboresha kivifaa, mitambo na upanuzi wa magati, yameipa bandari ya Tanga, sura na uwezo mpya wa kibandari.

Tanzania Panorama imefika bandarini hapo kuangalia mwenendo wake wa sasa na kufanya mahojiano na Meneja wa Bandari hiyo, Masoud Athuman Mrisha ambaye anafafanua mambo mengi kuhusu bandari hii kongwe nchini

Mahojiano baina ya Tanzania Panorama na Meneja wa Bandari ya Tanga

Read more

Local News