Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa na serikali kuiboresha kivifaa, mitambo na upanuzi wa magati, yameipa bandari ya Tanga, sura na uwezo mpya wa kibandari.
Tanzania Panorama...
Tizama video ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongelea changamoto ya uhaba wa mbolea nchini, wakati alipokuwa ziarani nchini Urusi
https://youtu.be/0ckxA-Blzdk
https://youtu.be/qSdNWWjY6qc
Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji Nchini (LATRA), imeendelea kusisitiza kuwa inazidi kujikita katika kutimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kanuni zinazoongoza mamlaka hiyo,...