Mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Neymar, yuko kwenye hatikati ya kuikosa michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza mwezi ujao nchini Qatar, kufuatia kuibuka kwa ombi la kutaka mshambuliaji huyo kukamatwa na kuwekwa ndani kutokana na tuhuma zinazomkabili za udanganyifu.
Tazama video kwa maelezo zaidi