Fahamu historia ya shutuma dhidi ya msanii R. Kelly

0
150

Mwimbaji wa Marekani R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kutumia hadhi yake kuendesha mpango wa kuwadhalilisha kingono watoto na wanawake.

Mnamo Septemba, mahakama ya New York ilimtia hatiani msanii huyo wa R&B, mwenye umri wa miaka 55, kwa makosa ya ulanguzi na biashara ya ngono.

Mzaliwa huyo wa Chicago – ambaye jina lake halisi ni Robert Sylvester Kelly – pia alipigwa faini ya $ 100,000 (£ 82,525).

Je, unajua historia ya shutuma dhidi ya nyota wa muziki R.Kelly na kwamba jambo hili si geni sana miongoni mwa wafuatiliaji wa msanii huyu ambaye kwa zaidi ya miongo miwili, amekuwa amekabiliwa na shutuma za unyanyasaji wa kijinsia?

Bonyeza hapa kusoma zaidi kuhusu mkasa huu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here