ZERUBABEL CHUMA
MSIMU wa mauzo ya zao la ufuta kwa mfumo wa kidijitali umefunguliwa kuanzia April 25, 2025.
Taarifa kwa umma iliyotolewa leo na Mamlaka ya...
RIPOTA PANORAMA
RAIS wa kwanza wa Namibia, Sam Nujoma amefariki duniani leo akiwa na umri wa miaka 95.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya...
Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa na serikali kuiboresha kivifaa, mitambo na upanuzi wa magati, yameipa bandari ya Tanga, sura na uwezo mpya wa kibandari.
Tanzania Panorama...
RIPOTI MAALUMU (5)
CHARLES MULLINDA
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, wakati ikichunguza tuhuma za Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti za...
Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti
KUKITWA ni kukitwa na kukita ni kukita. Kukita na kukitwa sasa ni fasheni, mikito imekuwa sehemu ya maisha.
Imekuwa kita nikukite, umekuwa...
RIPOTA PANORAMA
UTEKELEZA wa sera za fedha na mpango wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara, vimechochea kuongozeka kwa mikopo katika sekta binafsi ambayo sasa imefikia...
Tizama video ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongelea changamoto ya uhaba wa mbolea nchini, wakati alipokuwa ziarani nchini Urusi
https://youtu.be/0ckxA-Blzdk
https://youtu.be/qSdNWWjY6qc
MAKALA MAALUMU
IKIWA imepita miaka 14 tangu marehemu Remmy Ongala alifariki dunia, muziki wake bado unaishi kwenye mioyo ya wapenzi wa muziki wa dansi ulimwengu...