RIPOTA PANORAMA
Arusha
BARAZA la Watoto la Taifa limeiomba Serikali kuona umuhimu wa kuwashirikisha watoto katika kutunga sheria zitakazosaidia kuwabana watakaobainika kufanya vitendo vya ukatili dhidi...
MASHIRIKA YA HABARI YA KIMATAIFA
MTUNZA funguo za eneo takatifu kwa waumini wa dini ya kiislamu, Dk. Saleh bin Zainul Abedin Al Shebi amefariki dunia...
Mabilioni ya fedha yaliyomwagwa na serikali kuiboresha kivifaa, mitambo na upanuzi wa magati, yameipa bandari ya Tanga, sura na uwezo mpya wa kibandari.
Tanzania Panorama...
MCHOKONOZI
CHARLES MULLINDA
KUNA ya vita ya manyani inayopiganwa sasa hapa nchini. Ni vita ya nyani kuchekana maumbile yao ya nyuma. Maumbile ya nyani hayatofautiani...
RIPOTI MAALUMU (5)
CHARLES MULLINDA
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, wakati ikichunguza tuhuma za Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti za...
Simba Gembagu Ngw’ana Njamiti
KUKITWA ni kukitwa na kukita ni kukita. Kukita na kukitwa sasa ni fasheni, mikito imekuwa sehemu ya maisha.
Imekuwa kita nikukite, umekuwa...
RIPOTA PANORAMA
UTEKELEZA wa sera za fedha na mpango wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara, vimechochea kuongozeka kwa mikopo katika sekta binafsi ambayo sasa imefikia...
Tizama video ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongelea changamoto ya uhaba wa mbolea nchini, wakati alipokuwa ziarani nchini Urusi
https://youtu.be/0ckxA-Blzdk
https://youtu.be/qSdNWWjY6qc
RICHARD MBUNDA
“ATAKAYEVAA jezi ya Al Ahly au Mamelod Sundowns hataruhusiwa kuingia kwa Ben Mkapa isipokuwa ameonyesha passport. Na ukileta vurugu, polisi watashughulika na wewe......”...
MAKALA MAALUMU
IKIWA imepita miaka 14 tangu marehemu Remmy Ongala alifariki dunia, muziki wake bado unaishi kwenye mioyo ya wapenzi wa muziki wa dansi ulimwengu...