{"id":987,"date":"2022-10-23T10:06:58","date_gmt":"2022-10-23T10:06:58","guid":{"rendered":"https:\/\/tanzaniapanorama.co.tz\/?p=987"},"modified":"2022-10-23T10:06:58","modified_gmt":"2022-10-23T10:06:58","slug":"mjukuu-apanga-mauaji-ya-babu-yake-kwa-milioni-moja","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=987","title":{"rendered":"MJUKUU APANGA MAUAJI YA BABU YAKE KWA MILIONI MOJA"},"content":{"rendered":"\n<p><strong><em>RIPOTA PANORAMA, RUKWA<\/em><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>MZEE mwenye umri wa miaka 72 aliyefahamika kwa jina la Paul Kisiwa, mkazi wa Kijiji cha Ng\u2019ongo ameuawa kwa kupigwa rungu kichwani.<\/p>\n\n\n\n<p>Mzee huyo aliuawa Machi 3, mwaka huu majira ya jioni katika Kijiji cha Kifinga kilicho Kata ya Mtowisa wilayani Sumbawanga.<\/p>\n\n\n\n<p>Tukio hilo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, George Kyando ambaye amesema watu sita akiwemo mjukuu wa mzee huyo wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kupanga mauaji hayo.<\/p>\n\n\n\n<p>Kamanda Kyando alisema mjukuu wa mzee Kisiwa ambaye hakumtaja jina alikubali kuchukua Sh. Milioni moja ili babu yake auawe.<\/p>\n\n\n\n<p>Diwani wa Kata ya Mtowisa, Edger Malinyi naye amekaririwa akieleza kuwa mzee huyo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Kata wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alizikwa kimya kimya shambani kwake baada ya kuuawa.<\/p>\n\n\n\n<p>\u201cTaarifa za kupotea kwa Kisiwa zilianza kuzagaa. Ndugu na jirani zake wakishirikiana na polisi walianza kumtafuta ilipofika Machi 8, mwaka huu walimbana mjukuu wake ambaye alikiri kupanga njama za kumuua babu yake baada ya kupewa Sh. 1,000,000. Alipobanwa alieleza kuwa alipanga njama za mauaji hayo na watu waliokuwa na mgogoro wa ardhi wa muda mrefu na babu yake.<\/p>\n\n\n\n<p>\u201cKwamba babu yake aliwakodishia watu hao shamba la ekari zaidi 15 kwa ajili ya shughuli za kilimo lakini baadaye aliwanyang&#8217;anya akaanza kulilima mwenyewe ndiyo wakakasirika wakaandaa mpango wa kumuua.<\/p>\n\n\n\n<p>\u201cSiku ya tukio la mauaji walimvamia akiwa shambani kwake, wakampiga na rungu kichwani ambalo lilimuua papo hapo.<\/p>\n\n\n\n<p>\u201cBaada ya kumuua, walichimba shimo shambani humo wakamzika ili kupoteza ushahidi. Mjukuu wake alionyesha mahali alipozikwa na polisi walipofukua waliukuta mwili wa mzee huyo,\u201d alisema diwani huyo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>RIPOTA PANORAMA, RUKWA MZEE mwenye umri wa miaka 72 aliyefahamika kwa jina la Paul Kisiwa, mkazi wa Kijiji cha Ng\u2019ongo ameuawa kwa kupigwa rungu kichwani. Mzee huyo aliuawa Machi 3, mwaka huu majira ya jioni katika Kijiji cha Kifinga kilicho Kata ya Mtowisa wilayani Sumbawanga. Tukio hilo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":988,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-987","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","5":"has-post-thumbnail","7":"category-uncategorized"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/987","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=987"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/987\/revisions"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=987"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=987"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=987"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=987"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}