{"id":9741,"date":"2026-04-17T15:11:25","date_gmt":"2026-04-17T15:11:25","guid":{"rendered":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=9741"},"modified":"2026-04-17T15:11:34","modified_gmt":"2026-04-17T15:11:34","slug":"baraza-la-madiwani-mtama-lakutana-lapongeza-mafanikio-ya-miradi-ya-maendeleo","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=9741","title":{"rendered":"BARAZA LA MADIWANI MTAMA LAKUTANA, LAPONGEZA MAFANIKIO YA MIRADI YA MAENDELEO"},"content":{"rendered":"\n<p>Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama limefanya kikao chake cha robo ya tatu kwa mwaka wa fedha 2025\/2026 leo Aprili 18, 2026, kikijadili mafanikio ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kuweka mikakati ya kuimarisha huduma kwa wananchi.<\/p>\n\n\n\n<p>Akizungumza katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mhe. Abdallah Tipu, alimshukuru Mkurugenzi pamoja na wataalamu wa halmashauri kwa kazi kubwa wanayoifanya, akibainisha kuwa ushirikiano uliopo umechangia kwa kiasi kikubwa kufanikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo.<\/p>\n\n\n\n<p>Mhe. Tipu alisema licha ya mafanikio hayo, bado kuna hatua chache zinazohitaji kuimarishwa, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kushikamana ili kufikia malengo yaliyowekwa.<\/p>\n\n\n\n<p>Aidha, alieleza kuwa halmashauri imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila kata inasimamia kikamilifu miradi ya kipaumbele ili iweze kukamilika kwa wakati.<\/p>\n\n\n\n<p>Pia alisisitiza umuhimu wa kuendelea kushirikiana na wadau mbalimbali, wakiwemo viongozi wa kisiasa, katika kusukuma mbele agenda ya maendeleo ya wananchi.<br>Katika hatua nyingine, Mhe. Tipu alimpongeza Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye, kwa mchango wake katika kuharakisha maendeleo ya wananchi wa eneo hilo.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, Ndugu Anderson Msumbwa, alisema halmashauri imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuboresha miundombinu na utoaji wa huduma kwa wananchi.<\/p>\n\n\n\n<p>Alibainisha kuwa tayari mtaalamu amepatikana kwa ajili ya kufanya usanifu na michoro ya ujenzi wa soko la kisasa, akieleza kuwa kukamilika kwa mradi huo kutachochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi katika eneo la Mtama.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama limefanya kikao chake cha robo ya tatu kwa mwaka wa fedha 2025\/2026 leo Aprili 18, 2026, kikijadili mafanikio ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kuweka mikakati ya kuimarisha huduma kwa wananchi. Akizungumza katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mhe. Abdallah Tipu, alimshukuru Mkurugenzi [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":12,"featured_media":9742,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":true,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[69],"tags":[],"coauthors":[255],"class_list":{"0":"post-9741","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","5":"has-post-thumbnail","7":"category-habari-kitaifa"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.com\/wp-content\/uploads\/2026\/04\/baraza.jpeg?fit=720%2C370&ssl=1","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9741","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/12"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=9741"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9741\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":9743,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9741\/revisions\/9743"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/9742"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=9741"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=9741"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=9741"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=9741"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}