{"id":9435,"date":"2026-04-13T12:31:30","date_gmt":"2026-04-13T12:31:30","guid":{"rendered":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=9435"},"modified":"2026-04-13T12:31:33","modified_gmt":"2026-04-13T12:31:33","slug":"shabiki-kuishitaki-arsenal-kwa-kumsababishia-stress","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=9435","title":{"rendered":"SHABIKI KUISHITAKI ARSENAL KWA KUMSABABISHIA \u2018STRESS\u2019"},"content":{"rendered":"\n<p><strong><em>KAMPALA, Uganda<\/em><\/strong><\/p>\n\n\n\n<p>SHABIKI wa Arsenal raia wa Uganda, Eric Kyama, anajiandaa kuifungulia mashitaka klabu hiyo kwa kile alichodai imemsababishia changamoto za kisaikolojia, hasa huzuni na msongo wa mawazo.<\/p>\n\n\n\n<p>Mkazi huyo wa Kampala, amesema hatua yake hiyo imetokana na kuumizwa zaidi na matokeo ya mchezo uliopita dhidi ya Bournemouth.<\/p>\n\n\n\n<p>Arsenal iliyoko kileleni mwa msimamo wa Ligi, ilishindwa kuongeza pengo la pointi kati yake na Manchester City baada ya kufungwa mabao 2-1.<\/p>\n\n\n\n<p>Kwa matokeo hayo, sasa Arsenal inaongoza Ligi kwa pointi sita pekee, baada ya Man City kuifunga Chelsea mabao 2-1.<br>&#8220;Naandika taarifa hii rasmi juu ya nia yangu ya kufungua mashitaka dhidi ya klabu ya soka ya Arsenal, wachezaji na kocha Mikel Arteta kutokana na kiwango walichokionesha dhidi ya AFC Bournemouth.\u201dimeeleza taarifa yake.<\/p>\n\n\n\n<p>Shabiki huyo amesema katika mashitaka yake, anailalamikia Arsenal si tu kwa kupuuza weledi na ushindani ndani ya uwanja, bali pia kutokujali hisia za mashabiki wake.<\/p>\n\n\n\n<p><strong>Imeandaliwa na Hassan Mwasha<\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Uganda SHABIKI wa Arsenal raia wa Uganda, Eric Kyama, anajiandaa kuifungulia mashitaka klabu hiyo kwa kile alichodai imemsababishia changamoto za kisaikolojia, hasa huzuni na msongo wa mawazo. Mkazi huyo wa Kampala, amesema hatua yake hiyo imetokana na kuumizwa zaidi na matokeo ya mchezo uliopita dhidi ya Bournemouth. Arsenal iliyoko kileleni mwa msimamo wa Ligi, [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":9436,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","footnotes":""},"categories":[215],"tags":[],"coauthors":[201],"class_list":{"0":"post-9435","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","5":"has-post-thumbnail","7":"category-michezo-kimataifa"},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9435","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=9435"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9435\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":9437,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/9435\/revisions\/9437"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/media\/9436"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=9435"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=9435"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=9435"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=9435"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}