{"id":678,"date":"2021-04-15T08:37:00","date_gmt":"2021-04-15T08:37:00","guid":{"rendered":"https:\/\/msangirstz8.wordpress.com\/2021\/04\/15\/polisi-waulizana-faili-la-dawa-za-kulevya\/"},"modified":"2021-04-15T08:37:00","modified_gmt":"2021-04-15T08:37:00","slug":"polisi-waulizana-faili-la-dawa-za-kulevya","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/?p=678","title":{"rendered":"POLISI WAULIZANA FAILI LA DAWA ZA KULEVYA"},"content":{"rendered":"<p>\u00a0<\/p>\n<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/8b794-rpc2bkinondoni.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"266\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/8b794-rpc2bkinondoni.jpg?resize=400%2C266&#038;ssl=1\" width=\"400\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni (mbele) Ramadhani Kingai<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">MWANDISHI WA PANORAMA<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">IKIWA imepita miezi sita sasa tangu kukamatwa kwa vijana saba wakivuta dawa za kulevya na kulima bangi katika nyumba ya<span>\u00a0<\/span>Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, Ramadhani Nyamka iliyoko mkoani Dar es Salaam, jana, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni limesema halina uhakika wa mahali lilipo faili la uchunguzi na wapi ulipofikia.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi, Ramadhani Kingai alisema hana uhakika kuhusu mwenendo wa faili hilo na mahali lilipo, lakini aliahidi kulifuatilia na kutoa taarifa baada tu ya kulipata.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Kamanda Kingai ambaye alikuwa akijibu kuhusu mwenendo wa uchunguzi na hatua zilizochukuliwa baada ya kukamilika kwa uchunguzi wa timu iliyoundwa mwaka jana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo kutafiti chanzo cha kutoroshwa kwa mwanafunzi wa bweni aliyekuwa akisoma kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya St, Mary\u2019s, Lubna Salim Said, alisema matokeo ya uchunguzi huo anayeweza kuyazungumzia ni Chongolo.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Alipokumbushwa kuwa watuhumiwa hao wa dawa za kulevya na kilimo cha bangi walifikishwa polisi na katika mahojiano yake ya awali alikiri hilo na kuahidi kutoa taarifa baada ya uchunguzi kukamilika, alisema hilo la dawa za kulevya hana uhakika faili lipo wapo lakini mambo mengine yote yaliyomo kwenye ripoti ya kamati, anayeweza kuyazungumzia ni Mkuu wa Wilaya, Chongolo.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><\/span><\/p>\n<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/9c207-labna.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"400\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/9c207-labna.jpg?resize=300%2C400&#038;ssl=1\" width=\"300\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Mwanafunzi Lubna Said<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><br \/><span style=\"font-size:large;\"><br \/><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">\u201cLakini si unajua kuwa mtoto alipatikana? Alipatikana huko Stakishari. Lakini anayeweza kuzungumza kuhusu hiyo ripoti ni mkuu wa wilaya, mtafuteni mwenyewe ndiyo aseme kilichobainika kwenye uchunguzi\u2026 hili la hawa wa dawa za kulevya sina hakika faili liko wapi na limefikia wapi. Ngoja nifuatilie nini kinaendelea, nikipata majibu nakuja kwako,\u201d alisema Kamanda Kingai.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Watuhumiwa hao saba, walikamatwa katika msako wa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St, Mary\u2019s wakiwa katika nyumba ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Nyamka, ambaye pia ni Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu wa Jeshi la Magereza wakivuta dawa za kulevya, wakiwa na dawa za kulevya ndani ya nyumba hiyo na pia kukiwa na shamba la bangi kwenye au unaozunguka nyumba hiyo.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Taarifa za kukamatwa kwa watuhumiwa hao zilitolewa kwa Tanzania PANORAMA Blog na Joseph Kapere ambaye ni Mwenyekiti wa Timu ya Uchunguzi iliyoundwa na Mkuu wa Wilaya, Chongolo na baadaye kuthibitishwa na Kamanda Kingai. <span>\u00a0\u00a0<\/span><span>\u00a0<\/span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-size:large;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">Akithibitisha kuwepo kwa tukio hilo Oktoba mwaka jana, Kamandsa Kingai alisema watuhumiwa hao wa dawa za kulevya ni wanafunzi hivyo Jeshi la Polisi limeachiwa kwa ruhusa ya kiutu, kwenda kufanya mtihani wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya St Mary\u2019s, kwa sababu ni wanafunzi katika shule hiyo na watakapomaliza tu kufanya mitihani yao hatua za kisheria dhidi ya tuhuma zinazowakabili zitachukuliwa.<\/span><span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Katika mahojiano hayo ya awali, Kamanda Kingai alikataa kutaja majina ya vijana hao, jina la Kamishna wa Magereza ambaye vijana hao walikutwa nyumbani kwake wakiwa na dawa za kulevya, kukilimwa bangi eneo la uani la nyumba hiyo wala mahali ilipo.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-size:large;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">Mapema akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Kamati ya Chongolo, Kapere alisema kubainika kwa vijana hao na nyumba hiyo kulitokana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya St. Mary\u2019s, Ntipoo Yissambi kuipeleka timu ya uchunguzi katika nyumba aliyokuwa akiishi mwanafunzi Lubna na mpenzi wake baada ya kutoroshwa kutoka shuleni, lakini waliwakosa na badala yake walikuta wavulana saba wakiwa wanavuta bangi.<\/span><span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-size:large;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">&#8220;Mkuu wa shule anapajua alipotorokea mtoto huyo na alitupeleka kwenye hiyo nyumba. Ni nyumba ya Kamishna wa Magereza ambayo wanaishi watoto wake wawili lakini hapo hatukumta Lubna wala \u2018boy friend\u2019 wake, tulikuta vijana saba waliokuwa wanavuta bangi na nyumba nzima ilikuwa imetapakaa misokoto ya bangi.<\/span><span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-size:large;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">&#8220;Kwa kweli ni hali ya kutisha sana kwa vijana wetu. Walituambia ni kweli Lubna alipotoroka shule alikuwa akiishi hapo na \u2018boy friend\u2019 wake na alikuwa mama wa nyumbani kwani alikuwa akiwapikia na kufanya usafi wa nyumba lakini baada ya muda kidogo aliondoka.<\/span><span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-size:large;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">&#8220;Boy friend wake naye hatukumkuta, wale vijana wavuta bangi walisema anasoma chuo CBE na anaishi hosteli, sasa tumepeleka makachero akakamatwe huko.<\/span><span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-size:large;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">\u201cLakini hiyo nyumba baada ya kuichunguza kwa sababu ina uzio mkubwa sana tulikuta shamba la bangi humo ndani. Yaani bangi inalimwa humo humo nyumbani kwa Kamishna wa Magereza, wanavuna, kisha wanavuta hao vijana.<\/span><span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-size:large;\"><span>\u201c<\/span><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">Basi wale vijana tuliwachukua hadi polisi wamelala huko kwa ajili ya uchunguzi zaidi na taratibu nyingine zitafuata,&#8221; alisema Kapere.<\/span><span><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"font-size:large;\"><\/span><\/p>\n<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/babashadya6.files.wordpress.com\/2021\/04\/da574-polisi2bmisime.jpg\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"224\" src=\"https:\/\/babashadya6.files.wordpress.com\/2021\/04\/da574-polisi2bmisime.jpg?w=300&#038;resize=400%2C224\" width=\"400\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p><span style=\"font-size:large;\"><br \/><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><br \/><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Kabla ya kufanya mahojiano na Kamanda Kingai, Tanzania PANORAMA Blog lilimtafuta msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime na kumuuliza pamoja na mambo mengine ni kwanini watuhumiwa hao wa kutumia na kulima dawa za kulevya hawajachukuliwa hatua kwa takribani miezi sita sasa lakini alikataa kuzungumza lolote kwa maelezo kuwa anayepaswa kulizungumza ni Mkuu wa Wilaya, Chongolo aliyeunda timu ya kufanya uchunguzi.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Aidha, alipotafutwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Nyamka kuzungumzia suala na kilimo cha bangi katika nyumba yake, kuishi genge la vijana wanaotumia dawa za kulevya na mwanaye kumtorosha shuleni mwanafunzi wa kidato cha tatu, baada tu ya mwandishi kujitambulisha, aling\u2019aka kwa ukali na kuhoji kwa nini mwandishi aliandika habari hiyo bila kumtafuta kwanza.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">\u201cUnasema nani? Ndiyo wewe wa Tanzania PANORAMA. Nyamaza kwanza, nataka uniambie ni kwanini aliandika hizo habari bila kunitafuta kwanza. Eeeeeh, nambie, ni kwanini,,,,,?\u201d aling\u2019aka Kamishna Msaidizi Mwandamizi Nyamka.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Mwanafunzi Lubna anadaiwa kutoroshwa na Rahim Nyamka usiku wa Oktoba 4, 2020 ambaye alimpeleka katika nyumba ya baba yake, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Nyamka ambako pamoja na mambo mengine alimvutisha bangi.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Taarifa za kutoroshwa kwa mwanafunzi Lubna zilifichwa na uongozi wa Shule ya Sekondari ya St Mary\u2019s hadi ziliporipotiwa katika Kituo cha Polisi cha Stakishari na wazazi wake na kupewa RB <span>\u00a0<\/span>STK\/RB\/10714\/2020 na jalada la upelelezi wa kesi hilo lilikabisdhiwa kwa Askari Polisi Mpelelezi, Gwake Mwakapande.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span lang=\"PT\" style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Polisi Mwakapande alipohojiwa na Tanzania PANORAMA Blog alikiri kuifahamu kesi hiyo na kuieleza kuwa yeye ndiye alikuwa akisimamia upelelezi wake.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span lang=\"PT\" style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><span style=\"font-size:large;\">Akizungumza kwa mara ya kwanza na Tanzania PANORAMA Blog, kwa maneno yake mwenyewe, alisema \u2018hiyo kesi ipo, naifahamu, mimi ndiyo naisimamia, naipeleleza mimi lakini hapa nilipo nipo kwa kinyozi nanyoa nywele, naomba nipe muda kidogo nimalize halafu nitakupigia nikitoka hapa,\u201d alisema <\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;\"><span lang=\"PT\" style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><\/span><\/p>\n<table align=\"center\" cellpadding=\"0\" cellspacing=\"0\" class=\"tr-caption-container\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\">\n<tbody>\n<tr>\n<td style=\"text-align:center;\"><a href=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/ea31c-chongs2b6.jpg?ssl=1\" style=\"margin-left:auto;margin-right:auto;\" target=\"_blank\" rel=\"noopener\"><img data-recalc-dims=\"1\" loading=\"lazy\" decoding=\"async\" border=\"0\" height=\"266\" src=\"https:\/\/i0.wp.com\/tanzaniapanorama.co.tz\/wp-content\/uploads\/2022\/11\/ea31c-chongs2b6.jpg?resize=400%2C266&#038;ssl=1\" width=\"400\" \/><\/a><\/td>\n<\/tr>\n<tr>\n<td class=\"tr-caption\" style=\"text-align:center;\">Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo<\/td>\n<\/tr>\n<\/tbody>\n<\/table>\n<p><span lang=\"PT\" style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\"><br \/><span style=\"font-size:large;\"><br \/><\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"font-size:large;\"><span lang=\"PT\" style=\"color:black;line-height:107%;\">Mkuu wa <\/span><span lang=\"PT\" style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;line-height:107%;\">Wilaya ya Kinondoni, <\/span><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;line-height:107%;\">Chongolo alipata kuithibitishia Tanzania PANORAMA\u00a0Blog\u00a0kuitisha na kuongoza kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama cha Wilaya baada ya kupata taarifa za kutoroshwa kwa mwanafunzi Lubna ambapo aliunda timu ya maafisa wa Serikali kufanya uchunguzi.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\" style=\"line-height:normal;margin-bottom:0;text-align:justify;\"><span style=\"font-size:large;\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">Katika mahojiano hayo, Mkuu wa Wilaya Chongolo alisema timu aliyoiunda kufanya uchunguzi huo inajumuisha vyombo vya ulinzi na usalama na mwenyekiti wake ni <\/span><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;\">Afisa Elimu Sekondari wa Walaya ya Kinondoni, Joseph Kapere, na wajumbe ni Mdhibiti Ubora wa Shule, RPC Kinondoni aliyekuwa akiwakilishwa na Inspekta Gwaki Mwakapande na Afisa Usalama wa Manispaa ya Kinondoni (DSO), Ngusa Mabula.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;line-height:107%;\"><span style=\"font-size:large;\">Alisema timu itafanya kazi hiyo usiku na mchana mpaka mwanafunzi huyo atakapopatikana na kukabidhiwa ripoti ya uchunguzi na pia aliahidi kutoa taarifa kuhusu sakata hilo.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><span style=\"color:black;font-family:Garamond, serif;line-height:107%;\"><span style=\"font-size:large;\">Jitahida za kumtafuta Mkuu wa Wilaya Chongolo kuzungumzia suala hilo hazijafanikiwa baada ya kutokuwepo ofisini kwa muda mrefu kutokana na kuaandamwa na maradhi na hata alipotafutwa jana, simu yake iliita bila majibu.<\/span><\/span><\/p>\n<p class=\"MsoNormal\"><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>\u00a0 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni (mbele) Ramadhani Kingai MWANDISHI WA PANORAMA IKIWA imepita miezi sita sasa tangu kukamatwa kwa vijana saba wakivuta dawa za kulevya na kulima bangi katika nyumba ya\u00a0Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, Ramadhani Nyamka iliyoko mkoani Dar es Salaam, jana, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"tdm_status":"","tdm_grid_status":"","_jetpack_memberships_contains_paid_content":false,"footnotes":"","jetpack_publicize_message":"","jetpack_publicize_feature_enabled":true,"jetpack_social_post_already_shared":false,"jetpack_social_options":{"image_generator_settings":{"template":"highway","default_image_id":0,"font":"","enabled":false},"version":2}},"categories":[1],"tags":[34],"coauthors":[],"class_list":{"0":"post-678","1":"post","2":"type-post","3":"status-publish","4":"format-standard","6":"category-uncategorized","7":"tag-habari"},"jetpack_publicize_connections":[],"jetpack_featured_media_url":"","jetpack_sharing_enabled":true,"jetpack_likes_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/678","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcomments&post=678"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=\/wp\/v2\/posts\/678\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fmedia&parent=678"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcategories&post=678"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Ftags&post=678"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniapanorama.com\/index.php?rest_route=%2Fwp%2Fv2%2Fcoauthors&post=678"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}